wamefurahi sababu shehe nasrala hadi sasa hivi atakua anavunja bikira ya 22 kati ya zile 72, we huoni ni raha mzee?Leo watu wa motoni mmefurahi kweli kweli 😄 Nyie kuiona pepo na bado mpo nje ya Uislam ni ndoto mtaikuta kaburini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamefurahi sababu shehe nasrala hadi sasa hivi atakua anavunja bikira ya 22 kati ya zile 72, we huoni ni raha mzee?Leo watu wa motoni mmefurahi kweli kweli 😄 Nyie kuiona pepo na bado mpo nje ya Uislam ni ndoto mtaikuta kaburini.
alikua yuko underground kwenye tunels zao za zege na alikua na mageneral wengine iliku team nzima hapo ungekua ww ungepeleka tons ngapi??Ukitaka kujua Nasurlah ni mwanaume tazama Israel katumia 80 tons kwa ajili yake tu ili wamuwe. Huyu ndio mwanaume afu mashoga wanamsifu Israel . Hao ndio wana akili kweli? kutumia maboom ya 80 tons 😄
Ton we uanjua kg ngapi 1000 sa times 80 hapo kg 80,000 hio ndio akili? Si mnasifu maboom ya America yanapenya mpaa chini maboom manne ingetosha kabisa, ikiwa kweli kila boom moja ni 2000 kg au 2 ton yangetosha kupenya na kuangusha jumba. Hapo ndio ujuwe Israel hana hasara anaye kula hasara ni mpiganaji wa kweli USA. Mwambieni atengeneza ton 80 zingine kwa kiongozi mpya 😄alikua yuko underground kwenye tunels zao za zege na alikua na mageneral wengine iliku team nzima hapo ungekua ww ungepeleka tons ngapi??
Idf wanaupiga mwingi siku zote. Kumbuka survival ya Israel ni kushinda adui zake.Umekuwa muungwana sana Sheikh! Kuukubali ukweli sio udhaifu bali ni ujasiri. Kiukweli IDF wameupiga mwingi this time.
Vita sio kuvunja majengo vita ni kukamilisha oparesheni husika.lebanoni ilivunjwa vunjwa hadi leo imebaki na deni kubwa sana
Mkuu, hayo mabomu yapo ili yalipuliwe.Ton we uanjua kg ngapi 1000 sa times 80 hapo kg 80,000 hio ndio akili? Si mnasifu maboom ya America yanapenya mpaa chini maboom manne ingetosha kabisa, ikiwa kweli kila boom moja ni 2000 kg au 2 ton yangetosha kupenya na kuangusha jumba. Hapo ndio ujuwe Israel hana hasara anaye kula hasara ni mpiganaji wa kweli USA. Mwambieni atengeneza ton 80 zingine kwa kiongozi mpya 😄
Kosa kubwa la Hezbollah ambalo wanalifanya na bado wanaendelea kulifanya ni kule kutojitambua kwamba wao ni kikundi tu na wapo ndani ya nchi huru na ya kidemokrasia. Wanadhani wao ndo Taifa la Lebanon, wao ndo Serikali,wao ndo wenye maamuzi yote kuhusu mustakabali wa maisha ya watu wa Lebanon. Hilo ni kosa kubwa sana. Hata ungekuwa ni ww and 100 others, mtu anakuwepo nyumbani kwako halafu anajipa mamlaka ya kuamuru nini kifanyike ilhali ww upo hapo utajisikia vibaya sana. Kwa hiyo upande wa Serikali hawafurahishwi na mwenendo wa kundi la Hezbollah. Kwa upande wa wanachi; wanachi wengi hawalipendi kundi hilo kwa sababu limesababisha taharuki kubwa miongoni mwa jamii kwa kuwateka, kuwatesa na kuwapoteza wale wote wanaoonekana au kudhaniwa ni wapinzani.Kabisa mkuu, wajipange.
Lakini naona waliomuuza Nasrallah ni Lebanese wenyewe haswa upande wa serikali ya Lebanon.
Kuna watu wametumika ku track movement za Nasrallah.
Kulikua na ulazima wa kufanya shambulizi la October 7?Naona na juzi bwana Netanyau kwenye Baraza la UN ameongea wazi kabisa kwamba safari hii hakuna adui yao yoyote watakaemuacha salama, yaani Kila mtu wanayemjua kwamba ni adui yao lazima watamfikia popote pale alipo na watamfanya kile kinanchomstahili.
Aisee Hawa jamaa wanajiona wao ni ma prince wa hii dunia
Ndege mbili za kijasusi za USA zilikuwepo anga la lebanon kuanzia 1700-1930hrs, nasrallah aliuawa 1830,hazikuwahi kuwepo hapo ila jana tu muda huo na zikaondoka,israel ni mtu anayetumiwa tu kwenda kupiga waandamanajiWana traitor ndani ya kundi, tena sio mmoja, na shughuli ya kutafuta mchawi it's not easy.
Kama Mossad wana intel za movement ya Nasrallah na makamanda wale wote wa Hezbollah, si la kushangaza wakawa wanafahamu silaha zao zilipo.
Haikuanza oktoba 7,soma vyanzo tifaina vya israelKulikua na ulazima wa kufanya shambulizi la October 7?
Umeumia gaidi kuuwawa?! Pole sanaKuna majususi wa Israel ndani ya Hizbullah!
Wakati huu ni mgumu sana kwa Hizbullah kufanya chochote. Hali inaonekana wapo uchi kwa Israel. Kwa sasa watulie wapange tena safu yao upya.
Ila nimeumia aisee!
Siamini sana hizo mambo za dini za mashariki ya katiLeo watu wa motoni mmefurahi kweli kweli 😄 Nyie kuiona pepo na bado mpo nje ya Uislam ni ndoto mtaikuta kaburini.
Mashambulizi yote ya nyuma hayakumpa Israel uhalali wa kufanya hiki anachofanya sasa. Lile lilikua ni bab kubwa na kama lingefaulu asilimia 100 kusingekuwa na taifa la Israel leo hii.Haikuanza oktoba 7,soma vyanzo tifaina vya israel
Hapa umeingia mkenge.Mungu hawez geuka maneno yake yeye mwenyewe ,Mungu sio kigeu geu ,tangu enzi za Ibrahim,isaka na yakobo aliwapa ahadi ya kulaani watakao walaani na kiwabarik watakao wabariki,,hivyo upande wangu Kwa kuegemea Imani yangu iloonuesha kabsaa Kuna jitu litapigika
Kipigo kimewachanganya maustaazi mmepoteana.Mimi vichembe chembe vya machozi vimenitoka.
Nafikiri hata Jf sitoingia kwa muda na kashfa za watu wengineo juu yake nitaumia zaidi.
Imeniuma sana yaani!
mwanaume anajificha kama panya acha ukenge kazi wanayo weza ni kijificha kwa raia na watoto *****..Ukitaka kujua Nasurlah ni mwanaume tazama Israel katumia 80 tons kwa ajili yake tu ili wamuwe. Huyu ndio mwanaume afu mashoga wanamsifu Israel . Hao ndio wana akili kweli? kutumia maboom ya 80 tons 😄
Kuna mtu aliitwa Eli Cohen, hadi sasa Syria hawataki kusikia hata jina lake, wakafanya hadi asiwe na kaburi. Huyu alikuwa ni jasusi wa Israel akitajwa ndiye jasusi bora.Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.