Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Mpaka leo unaenda mwaka hawajui mateka wao walipo😅Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.