Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Binafsi sitashangaa kabisa kama CIA ndo walihusika kwa kiasi kikubwa ila watu mnaishia kuisifia Mossad.Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwez
Nitakubali US inatoa msaada kwa Israel , nitakubali pia CIA inatoa msaada mbali mbali lakini kwa uzoefu wa intel pale ME nadhani Mossad wamekomaa...Binafsi sitashangaa kabisa kama CIA ndo walihusika kwa kiasi kikubwa ila watu mnaishia kuisifia Mossad.
Sawa, lakini hata huko Middle East, Mossad mahasimu wao wakubwa ndo hayo makundi ya wanamgambo [militias].Nitakubali US inatoa msaada kwa Israel , nitakubali pia CIA inatoa msaada mbali mbali lakini kwa uzoefu wa intel pale ME nadhani Mossad wamekomaa...
CIA wana mambo mengi sana, CIA almost dunia yote wanaimulika, Mossad wame focus sana na masuala ya middle east, wamefanya kitu kimoja kwa muda mrefu, CIA 1947, Mossad 1949, hivyo nakiri kwamba kwa masuala ya middle east nadhani CIA hawajawafikia Mossad.
Nakazia kwa intel za ME, lakini overall CIA wanaizidi Mossad...
Endelea kutumia umia tena na tena! Ukiona kama vipi nenda kasaidie kuliunda upya hilo kundi lije likusaidie kufikia malengo yako ya kidini.Kuna majususi wa Israel ndani ya Hizbullah!
Wakati huu ni mgumu sana kwa Hizbullah kufanya chochote. Hali inaonekana wapo uchi kwa Israel. Kwa sasa watulie wapange tena safu yao upya.
Ila nimeumia aisee!
Tiss inasafari ndefu ku deal na uga wa midfle east. Wale wako mbele zaidi. Sana sana wamsake adui chadema basiSawa, lakini hata huko Middle East, Mossad mahasimu wao wakubwa ndo hayo makundi ya wanamgambo [militias].
Ni makundi yasiyo na sophistication. Ni makundi yasiyo na rasilimali [resources] za kutosha.
Kwa upande wa Israel/ Mossad, kila mwaka wanapewa msaada wa mabilioni ya dola kutoka Marekani.
Hata sasa hivi Marekani ina meli zake za kivita huko Mashariki ya Kati, USS Abraham Lincoln na USS Georgia kuipiga tafu Israel.
Hiyo tafu ni katika sekta nyingi, yakiwemo mambo ya intelligence.
Ingekuwa Israel inapambana na mataifa makubwa yenye mashirika ya ujasusi yenye sifa zilizotukuka kama KGB, MI6, au hata ISI, halafu ifanikiwe kama inavyofanikiwa dhidi ya hayo makundi ya wanamgambo, hapo ningekuwa impressed zaidi.
Lakini hao akina Hamas na Hizbollah, nah. Hao ni wanamgambo tu ambao naamini hata TISS isingeshindwa kuwadhibiti.
itoshe tu kusema tunashukuru kwa kuonyesha nia ya kushiriki kwao,wajipange tena wakati mwingineNikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
huyo Allah mwenyewe katoka ndukiDah kwakweli hisbullah wametuangusha wengi ambao tupo against na israel wauaji wakubwa wa watu wasio na hatia ila hata iweje mtu muovu Allah hatamuacha afanikiwe kwa siku zote
Tusisahau kwa historia ya muda mrefu Mossad imeshiriki katika migogoro na nchi nyingi ME, kuanzia Iraq, Syria, Jordan, Lebanon, Iran hadi Egypt , Palestine n.kSawa, lakini hata huko Middle East, Mossad mahasimu wao wakubwa ndo hayo makundi ya wanamgambo [militias].
Ni makundi yasiyo na sophistication. Ni makundi yasiyo na rasilimali [resources] za kutosha.
Kwa upande wa Israel/ Mossad, kila mwaka wanapewa msaada wa mabilioni ya dola kutoka Marekani.
Hata sasa hivi Marekani ina meli zake za kivita huko Mashariki ya Kati, USS Abraham Lincoln na USS Georgia kuipiga tafu Israel.
Hiyo tafu ni katika sekta nyingi, yakiwemo mambo ya intelligence.
Ingekuwa Israel inapambana na mataifa makubwa yenye mashirika ya ujasusi yenye sifa zilizotukuka kama KGB, MI6, au hata ISI, halafu ifanikiwe kama inavyofanikiwa dhidi ya hayo makundi ya wanamgambo, hapo ningekuwa impressed zaidi.
Lakini hao akina Hamas na Hizbollah, nah. Hao ni wanamgambo tu ambao naamini hata TISS isingeshindwa kuwadhibiti.
walitaka kuhakikisha hata kucha ya naslarah haionekani na hicho ndicho kilichotokea..wamemsaga saga mwili wote hakuna hata kiungo chake kilichobaki..amekufa vibaya sana aseeTon we uanjua kg ngapi 1000 sa times 80 hapo kg 80,000 hio ndio akili? Si mnasifu maboom ya America yanapenya mpaa chini maboom manne ingetosha kabisa, ikiwa kweli kila boom moja ni 2000 kg au 2 ton yangetosha kupenya na kuangusha jumba. Hapo ndio ujuwe Israel hana hasara anaye kula hasara ni mpiganaji wa kweli USA. Mwambieni atengeneza ton 80 zingine kwa kiongozi mpya 😄
israel ana pesa huwez mfananisha na lebanoni..hapo maishariki ya kati akitoka msaudia na uturuki na yeye yumoKatazame deni la Israel kabla ya vita na sasa
Ndio Dunia ilivyo.Kaa mbele kaa kushoto kila mtu anangalia uwezekano juu yako.Kabisa mkuu, wajipange.
Lakini naona waliomuuza Nasrallah ni Lebanese wenyewe haswa upande wa serikali ya Lebanon.
Kuna watu wametumika ku track movement za Nasrallah.
The Spy kuhusu Eli Cohen yule jasusi wa Mossad.Tafuteni series za Fauda na Tehran mziangalie ndio mtajua hawa jamaa wa Mossad wana inteligency kubwa kiasi gani.Kama Kuna series nyingine zinazofanana na hizo mnazijua naomba muweke hapa nizitafute Ili niziangalie pia.
Yeah ,thanks mkuu nitaitafuta hiiThe Spy kuhusu Eli Cohen yule jasusi wa Mossad.
Mi ninachojiuliza.Wangekua vizuri wasingepigwa tukio la Oktober 7 mwaka Jana