Most expensive schools in Tanzania

Hakunaga TO..kwa shule kama hizo..hahahaaa mungu ana maajabu yake
We jamaa unatia huruma.
Unawezaje kuwashindanisha hao watu wakati wanafanya mitihani tofauti kabisa kimaudhui na kila kitu?

Unafikiri huyo TO wenu nikimpa mtihani wa ICT wa shule ya mtaala wa IB au Cambridge anaweza kupata hata 5%? Kwa wote wa grade(class) moja kama wote form six?
 
Uko sawa mkuu..maisha ya nyumban kwa idadi kubwa ya watanzania husababisha tuwe na low thinking capacity ndio maana kwa standard zetu miaka minne ni sawa kwan tunaelewa taratb sana bse home mara hakuna chakula,mara mtoto akalime,mara mwanfunz huyohuyo afanya biashara alishe familia,we acha tu mkuu tusome huo mtalaama wa bongo tu
 
Sasa mkuu kama hujui mtaala wa bongo ni complicated sana ni mgumu kuliko huo wa wazungu,changamoto ni low technology,na poor education kwetu,ndio maana ata wanafunz waliotokka bongo wanaoenda ulaya kusoma hua wanachana vizur sana kuliko hao wazungu..uliza uambiwe na cambrige zao still bongo we ar best
 
Wazo zuri sana
 
Na wengi wao ni Bavicha teh teh teh..

Happy new year to you bruv.. lots have been happening but we good to go..
Teh teh teh,
Bavicha wanakwambia hiyo mitaala ya Cambridge ni ya kichumba tu ukiringanisha na hii ya ACSEE au CSEE....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umekaririshwa.
Hivi umewahi kukaa na hao watu waliosoma hizo shule?

Nakuambia utaona maturity kubwa na reasoning kubwa sana inafanywa na mtoto wa miaka 16 aliemaliza form six hizo shule kuliko mtu mwenye bachelor degree au masters hasa hizi batch za JK era.

Mkuu ninachokuambia nakijua fika nimewahi kuwa karibu kikazi, kirafiki na ujirani na hao watu.

Sijasimuliwa nimejionea mwenyewe. Kama ukinibishia sana nitakupa angalau kitabu kimoja na sample ya maswali na nitakukutanisha na hao watu.

Hivi wewe ukiwa kidato cha nne unaweza hata kuandika portifolio yako kwa kiswahili achana na kiingereza?

Wewe ukiwa kidato cha nne unaweza kuandika hata program fupi ya computer ya basic arithematics?

Hizo fix za mtaala wa bongo mgumu hata sisi tulipigwa tangu enzi hizo.

Mimi nimefanya kazi na waalimu wa hizo shule na nimekuwa na subordinates kazini ambao wamesoma hizo shule. Pia nimefanya kazi kadhaa na wanafunzi wa hizo shule. Na nimekuwa na wabongo waliosoma mtaala wa kayumba hadi PHD nimeona tofauti kubwa mno kama ardhi na mawingu sio mbingu.
WEWE UMESIMULIWA MIMI NIMESHUHUDIA MUBASHARA.
 
Alafu sasa watoto waliosoma hizi shule hata wasipofika mbali na kuwa wahuni..uhuni wao sio ule wa Kantalamba au Songea Boys!
 
Eti mtaala wetu mgumu huku tunasumbuliwa hata na wakenya, wamalawi, waganda, waghana, wanaijeria na wazambia kwenye general knowledge ktk Zain/airtel challenge?
Ndio tutajifananisha na hao wa IB na Cambridge?
 
Hamna kitu kama hicho! Watoto wengi wanaosoma hizi na kumaliza hizi shule shule huwezi wakuta wanaajiriwa kwenye vijikampuni au taasisi uchwara na hata wakiajiriwa basi direct unakuta ni nafasi za juu.
Mkuu hapa tunapoteza muda kuwaelewesha watu wasiojua ukweli bali wamekariri hadithi za kusimuliwa na washamba wenzao.

I will give anything to bring my child to these international schools.

Nilijaribu kufanya mbinu waende HOPAC au International School of Moshi nikachemka mpunga mrefu sana mipango na malengo iligoma. Watoto wawili kwa fedha hizo hapo juu sio mchezo. Na sikutaka kubagua mmoja.
 
IST ndio ndoto lakini huko nilijua sio size yangu hata pre-primary school.
 
Kweli kabisa mkuu..acha kila mtu abaki na ushamba wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…