Moto unawaka, No fap Challenge (Kuzuia shahawa kutoka): Nimekaa siku 8 kujizuia kupizi napata wakati mgumu kuendelea, wengine mmeweza vipi ?

Nofap ni sehemu ya Semen retention.

Nofap challenge inakusudia kuacha kuangalia picha na video za matusi na kujichua. Unaweza kushiriki tendo na mwenza.

Semen retention inahusisha utunzaji wa shahawa mwilini. Hii inahitaji moyo kama una Afya njema.
 
Ni vijana wangapi ambao wanakua hawajaanza ngono let's say ana miaka 18 na puli alikua hapigi umewaona Nyege zao zimehamia mkundunih kwa Sababu hawatombih?

Mtu Wa kufirwawa atafirwa tu regardless ana absain au anamwaga.
 
Mateso yote hayo ya nini.kisa cha kuwa na hasira hasira ya nini.
 
Khaa! Huyu kaamua kugeuza meza.
 
Mrejesho wa challenge [emoji23][emoji23]

Daaaaah hii challenge hatari Sana ..... sometimes naweza kuwa njiani ...unakuta mtambo umevimba Hadi watu wananishtukia

Noted......Inawezekana wale wanaobaka watu Ni effect ya hii[emoji23][emoji23]
 
Ila hapo Kwenye kuchelewa kufika kileleni umebugi bro.Watu wanaokaa muda mrefu bila kusex wakikutana na mwanamke huwa wanapizi chini ya dakika Moja,Yaani hapo mtu anakuwaga na ugwadu wa kiwango Cha pro max na shahawa zipo nje nje.Mtoa mada hapo umetuzuga.
 
Mrejesho wa challenge [emoji23][emoji23]

Daaaaah hii challenge hatari Sana ..... sometimes naweza kuwa njiani ...unakuta mtambo umevimba Hadi watu wananishtukia

Noted......Inawezekana wale wanaobaka watu Ni effect ya hii[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂
 
BAO la kwanza mara nyingi huwa linaambanatana na hisia Kali sana linawahi kutoka, Uwezo wa mechi unapimwa kuanzia bao la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…