Moto unawaka, No fap Challenge (Kuzuia shahawa kutoka): Nimekaa siku 8 kujizuia kupizi napata wakati mgumu kuendelea, wengine mmeweza vipi ?

Moto unawaka, No fap Challenge (Kuzuia shahawa kutoka): Nimekaa siku 8 kujizuia kupizi napata wakati mgumu kuendelea, wengine mmeweza vipi ?

Nofap ni sehemu ya Semen retention.

Nofap challenge inakusudia kuacha kuangalia picha na video za matusi na kujichua. Unaweza kushiriki tendo na mwenza.

Semen retention inahusisha utunzaji wa shahawa mwilini. Hii inahitaji moyo kama una Afya njema.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wanajichua kavukavu

Mimi kiukweli mpaka hapa nilipositaki kuwa Elon Musk wala Mo ndio maana hii challenge niliikataa toka mwanzo. Hizi ni mambo za kuhamasisha ushoga maana wanasema nyege zikizidi zikikosa kwa kutokea zinahamia nyuma.

Shauri yenu
Ni vijana wangapi ambao wanakua hawajaanza ngono let's say ana miaka 18 na puli alikua hapigi umewaona Nyege zao zimehamia mkundunih kwa Sababu hawatombih?

Mtu Wa kufirwawa atafirwa tu regardless ana absain au anamwaga.
 
Mateso yote hayo ya nini.kisa cha kuwa na hasira hasira ya nini.
 
Hivi hiii challenge yenu... Ni Kwa wapiga punyeto tu??

Mabachela ambao hawajaoa na hawana Wapenzi??

Wenye Wapenzi lkn ndo Ivo mnajizuia kuwala ??.

Au wenye Wapenzi na mnaamua kuwaacha wapenzi zenu kisa No Fap?

Yaaan daahhh kama mnawapenzi wenu na hamuwali kisa No Gap challenge, kwakweli nawauhurumia sana.

Mkigongewa nanyie mnalia ??? Au..

Embu waleni Wanawake zenu , Wanawake wanapenda Mashinee .

Hii challenge nadhan Inawafaa Wapiga punyeto, Mabechela Domo zege n.k

Kwa mtu unayekula vizuri tu, huna mawazo, uko na Maisha yako, Kweli usitafute hata Bidada Mmoja uwe unajitafunia??.

Ngono Salama inafaida zifuatazo

👉kupunguza stress ( mtu ukiwa na mawazo homoni Cortisol inakua juu hali inayopelekea mtu kua kwenye stress kupindukia, Unayofanya Sex, homoni ya Endorphins inazalisha sana na hii homoni inasaidia kupunguza Kiwango Cha cortisol na hatimaye stress zinashushwa.

👉Sex inapunguza Maumivu kupitia homoni ya Endorphins

👉kupunguza uzito, aiseee Kama yalivyo mazoezi mengine, Ngono hisaidia kupunguza calories kadhaaa mwilin nahivo kumpelekea mtu kupunguza uzito hasa Hawa wanene

👉Ngono salama, inaimarisha Kinga
👉Kusaidia kuweka sawa msukumo wa Damu .
👉kupunguza hatari ya Magonjwa ya Moyo
👉Kupunguza hatari ya tezi dume
👉Inasaidia kuleta usingizi mnonooo

N.k

Daaahhh Kama Unapenda Sex, Gonna like mwanawani !! Kujibanabana yannn!!

No Fap ni challenge ya kishetani, lengo lake watu tusizae, tusiwe na familia, tuwe na Hasira Hasira wagonvi , tusiwe na hamu na Wanawake zetu ambao ndio Zawadi zetu hizi, Ufanisi Wetu wakazi upungue, n.k
Khaa! Huyu kaamua kugeuza meza.
 
Mrejesho wa challenge [emoji23][emoji23]

Daaaaah hii challenge hatari Sana ..... sometimes naweza kuwa njiani ...unakuta mtambo umevimba Hadi watu wananishtukia

Noted......Inawezekana wale wanaobaka watu Ni effect ya hii[emoji23][emoji23]
 
Ila hapo Kwenye kuchelewa kufika kileleni umebugi bro.Watu wanaokaa muda mrefu bila kusex wakikutana na mwanamke huwa wanapizi chini ya dakika Moja,Yaani hapo mtu anakuwaga na ugwadu wa kiwango Cha pro max na shahawa zipo nje nje.Mtoa mada hapo umetuzuga.
 
😂😂😂😂
 
BAO la kwanza mara nyingi huwa linaambanatana na hisia Kali sana linawahi kutoka, Uwezo wa mechi unapimwa kuanzia bao la pili
 
Back
Top Bottom