moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Halafu ukisoma post za wananzengo hapa unaweza kudhani wao ndiyo wenye dawa ya kumaliza changamoto hizo.Siyo huduma za moto peke yake ni kila kitu. Imagine mtu ndiyo umepata heart attack au stroke. Ambulance mpaka ikakufikie ni kazi. Na ikifika si ajabu ikawa mbovu au ikaishiwa mafuta njiani.
Na paramedics waliomo humo wanaweza wasije na kifaa hata kimoja. Kwa hizi huduma aisee wenzetu huko duniani wametuzidi sana. Moto kama huo dakika 5 tu wameshafika na mamitambo ya kila aina. Hata huwa sielewi tatizo letu ni nini yaani.
Wape hizo kazi sasa uone watakachofanya.
Sijajua tuna hini, huenda sisi wafrika tuna dosari za kimaumbile