Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Kafunga mziki kulingana na ukubwa wa shughuli

Angepiga nyundo kama zile za futi 6 au zile za kazini ingekuwaje?
hahahaha futi 6 mbona punch nyepesi Sana ..kweli nyie machali wa dar hamjui kutofautisha lines za hip-hop . Mtahitaji darasa la kutosha
 
Unaandika mipasho kumdhalilisha mchizi baada ya kukuchana ukweli. Pmawenge ni bonge moja la WAKI.
 
hahahaha futi 6 mbona punch nyepesi Sana ..kweli nyie machali wa dar hamjui kutofautisha lines za hip-hop . Mtahitaji darasa la kutosha
Punch nyepesi zile au kwasababu haujachanwa wewe?

Ebu angalia ndugu yako alichokiimba hapa kisikilize halafu unisaidie kucheka, jamaa ni bonge la wack kaimba track ya hovyo vina vibovu bora hata ile ya dear god ya jeremiah kuliko hii garbage halafu kwa pozi naye kaiita eti dirty version

 
Unaandika mipasho kumdhalilisha mchizi baada ya kukuchana ukweli. Pmawenge ni bonge moja la WAKI.

Unataka kujua nani waki, mcheki mc huyu ambaye ni mshehereshaji kafanya kama alichofanya motra kakosa beat tu ila angeweza kumficha mchizi wako
Your browser is not able to display this video.
 
Amekopi na kupaste idea ya pastor mmoja wa kikenya....hizi dalili tosha za kuwa Hana uwezo[emoji23]
 
Amekopi na kupaste idea ya pastor mmoja wa kikenya....hizi dalili tosha za kuwa Hana uwezo[emoji23]
Yaani nimecheka kinoma kuona jamaa kafanya ngoma yenye Title la kutisha ila kilichoimbwa ndani hakieleweki

Sasa huyu ndo walitaka watu wamjibu kama kundi si ingekuwa aibu

Kwanza kathibitisha kua hata ile diss aliamdikiwa na ilikua ni project ya muda mrefu
 
Sure aisee[emoji23]
 
Eti mabwana wa dar ujue wana dharau kweli, mademu wa chuga wanatuona kama house girl.../
Wanamsifia uwoya tu na aunt ezekiel, wabaguzi sana siwataki tena wamefeli.../
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]...... Daaaah[emoji1787]
 
Sijui nini wewe? Umeskiza ngoja za KRS 1 siku au miaka ya hivi karibuni?

Wamejibu wqngapi? Uyo Pmawenge na uzoefu wake kwenye game anatoa diss ya kishamba vile..

Umeskiza #HAUTAKI? mpka sasa Motra anawakimbiza machizi wamepanick wanaimba matusi
Sielew shida yako nn si u lum ete either link au jina la wimbo unazungukazunguka nn sasa??
 
What a trashhhhhh....
 
Hujui hip hop wewe, alichokifanya p mawenge ni wasanii wachache sana wenye uwezo wa ku delivery message kwa hidden code iliyo pangilika

Halafu sijajua kwanini mpaka sasa umeshindwa kututajia hiyo trap ya krs
Anatopoka tu temana nae
Tatizo ya machalii wengi wa arusha wanajiona hiphop while they knw nothing n by nothing i mean nothing at all about hiphop
Kuvaa vile visuruali vya kubana na ile.mibushori wanajiona wao na ma krs1 wao ndo ma naughty by nature
Ona kama huyu mwana kumsifia motra tu kwa ile track means he knw nothing about hiphop but sababu motra ni wa chuga basi kaishikia bango
 
Yeye katukanajwe??enlight me
 
Ukweli gani? Kwanini asingepita moja kwa moja hadi atumie mistari mipasho ..mf kumuita mchizi wife, sijui nini mabwana zako ..huoni kma ni mipasho Hiyo?

Jamaa kadhihirisha ana mawenge atulize akili ajib diss ya Motra
Kwahyo shida yako ulitaka p aandike unavyotaka ww sio??
Ddnt knw u r this s.t.u.p.i.d
 
Boss hata nyimbo za bolingo zina message
Think better
Hiphop has its own way kuanzia uandishi mpaka uwasilishaji
Motra is ajust a rapper kama ally choki na wengineo all they do is rapping
 
2nd
When t comes to disstrack not necessarily ukajibu kilichoandika
Dis is dis mtu unatoa mapungufu ya upande wa pili u dont stick kwenye hoja au point zake
Huyo motra kadis alivyodiss na wao watamdis kivyao
Usiwapangie jinsi ya kufanya
Kama motra ameanzisha ugomvi wa mawe kwenye nyumba ya kioo acha alinywe
 
hahahaha futi 6 mbona punch nyepesi Sana ..kweli nyie machali wa dar hamjui kutofautisha lines za hip-hop . Mtahitaji darasa la kutosha
Seems hujui lolote kuhusu punch
Sometimes ni bora kukaa kimywa
 
Dah aiseee nimecheka balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…