Ile Nguzo ya Maharifa imesahaulika kabisa... So Sad kwakweli!!Kama Hip Hop mashabiki wake wengi ndio hivi basi safari ipo tena si fupi ni ndeefu ya Karne nzima.
Motra ni rapper na Mex ni lyricist. Motra anavina vya mwisho ukimwangilia kitu ambacho yeyote anaweza kafanya. Mex ni lyricist si hilo bali anauwezo wa kurap. Mex ana vina vya kati na vya mwisho na vina make sense Motra hawezi hili. Vina vyake ni vya mwisho.Alichokifanya Cortex ni uwezo binafsi ambao sio kila Mc naweza, kwa muda mfupi tu tangu motra kaachia diss jamaa katoa bars kali za kumjibu ambazo mimi naweza kusema ni freestyle
Pengine hata yeye motra amepata uoga kujibu kutokana na kwamba huwenda ilimchukua muda mrefu kuandika hiyo diss, sasa anapokuja ku battle na metrix anaingiwa na uoga maana jamaa ni kama ana waiter wa mistari anafanya kuagiza tu
Sasa hapo ujue Motra ana kiwewe!Kama anamuona motra ni mkali basi aje humu tu battle kwa freestyle tuone kama hatujamkalisha
Mex kaua na motra akijitusu kujibu tu amekwishaaa, nilimsikia kwenye interview yake jana mpaka anajichanganya, mwanzo alisema kawa inspired na tamaduni music baadaye akakanusha
Na VP khs cholo brighter na yy anataka kuachia diss track Kwa motra?Motra ni rapper na Mex ni lyricist. Motra anavina vya mwisho ukimwangilia kitu ambacho yeyote anaweza kafanya. Mex ni lyricist si hilo bali anauwezo wa kurap. Mex ana vina vya kati na vya mwisho na vina make sense Motra hawezi hili. Vina vyake ni vya mwisho.
Kingine Mex ana uwezo mkubwa wa kufanya freestyle kitu ambacho Motra hawezi. Motra analigundua hili Na kingine ulichokisema ni sahihi. Mex kajibu kwa muda mfupi, na akamwambia anasubiri ajibu anamzika futi 12.
Na lyricist ili kumuelewa inahitaji uwe na akili na uwe na info kama Mex alivyomuelimisha Motra kumuelewa Uno. Motra anaogopa!! Akiulizwa anajibu Mex kwangu ni mdogo, hajajibu nilichokizungumzia, mara anataka tembelea nyota yangu kupata umaarufu..
Mex jawabu lake ni moja, akamwambia huo ni uoga!! Kama una uwezo jibu.
Na media yao ya Mawingu ikawa inasema "diss ya watu wachache imewafanya majamaa kuunda kikundi kabisa! Yaani ya watu wachache tu"Mkuu umemaliza kila kitu
Ma fans wa WEUSI wengi hawaelewi hata chimbuko la bifu limeanzia wapi, wanakurupuka tu na kuanza kuwa attack KKK bila kujua kua weusi ndio walianzisha na jamaa wamekuja kujibu
Mkuu hip hop unaijua, sina shaka na wewe kabisaMotra ni rapper na Mex ni lyricist. Motra anavina vya mwisho ukimwangilia kitu ambacho yeyote anaweza kafanya. Mex ni lyricist si hilo bali anauwezo wa kurap. Mex ana vina vya kati na vya mwisho na vina make sense Motra hawezi hili. Vina vyake ni vya mwisho.
Kingine Mex ana uwezo mkubwa wa kufanya freestyle kitu ambacho Motra hawezi. Motra analigundua hili Na kingine ulichokisema ni sahihi. Mex kajibu kwa muda mfupi, na akamwambia anasubiri ajibu anamzika futi 12.
Na lyricist ili kumuelewa inahitaji uwe na akili na uwe na info kama Mex alivyomuelimisha Motra kumuelewa Uno. Motra anaogopa!! Akiulizwa anajibu Mex kwangu ni mdogo, hajajibu nilichokizungumzia, mara anataka tembelea nyota yangu kupata umaarufu..
Mex jawabu lake ni moja, akamwambia huo ni uoga!! Kama una uwezo jibu.
Kwani lazima kila kitu uelewe mzee?Mnaleta sana ukanda ndiyo tatizo.
Na ni kwanin utunge mashairi maguumu mpaka wengine wasiyaelewe ndiyo hip hop inasema hivyo?
Duuh kuna mwamba mwingine naye kaputa mchanga anataka kuingilia huu ugomvi?Na VP khs cholo brighter na yy anataka kuachia diss track Kwa motra?
Sasa ulitaka nianze kufuatilia miaka ipi? Mi si zao la tisini Mzee?Chief nimeishia kusoma hapo uliposema umeanza kufatilia mziki mwaka 2000 😂
Ur still a junior. Mimi nakaa meza moja na Chief Ramson( nowdays anajiita Zavara) yani mc Zaiid nimemuona akizaliwa.
Reference yako ya kina juma nuture na kina inspector Haroun ni expirience ya juzi kabisa bado hainipi sababu ya kukuamini kuwa wewe ni mkali kuliko Motra otherwise weka ngoma yako hapa.
Kusoma vitabu vya mashairi ni jambo moja, na kuyachana hayo mashairi ni jambo lingine.
Kubali-kataa dogo amewachana kwa akili na style kali sana hao mabraza zako na mmeumia kweri-kweri.
Huyu motra labda mumjibu kwa albam mzima 🤣🤣🤣
Kumbe umebebwa na ukanda ndo maana hujaielewa. Wazaramo bwanaa...Watoto wa arusha kinachowabeba ni media tu na hiyo ni kwa sababu ma presenter wengi wa redio stations na TV wanatoka arusha kwa hiyo kuna kubebana fulani ila kwenye rap ni weupe sana
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Hapo umepatia, kuna bars za Mex Cortez zinaweza kukupita ukisikiliza tena ndio unakuja kuelewa ukubwa wa wordplay aliyofanya. Motra ni an average rapper na anachokifanya Mex Cortez ni kama kwenye ngumi anampiga Motra jabs kwanza huku akijua anaweza kummaliza na punch saa yoyote, njia anayotakiwa kuichukua Motra ni kujifanya hana muda wa kumjibu Mex ili liishie hewani.Motra ni rapper na Mex ni lyricist. Motra anavina vya mwisho ukimwangilia kitu ambacho yeyote anaweza kafanya. Mex ni lyricist si hilo bali anauwezo wa kurap. Mex ana vina vya kati na vya mwisho na vina make sense Motra hawezi hili. Vina vyake ni vya mwisho.
Kingine Mex ana uwezo mkubwa wa kufanya freestyle kitu ambacho Motra hawezi. Motra analigundua hili Na kingine ulichokisema ni sahihi. Mex kajibu kwa muda mfupi, na akamwambia anasubiri ajibu anamzika futi 12.
Na lyricist ili kumuelewa inahitaji uwe na akili na uwe na info kama Mex alivyomuelimisha Motra kumuelewa Uno. Motra anaogopa!! Akiulizwa anajibu Mex kwangu ni mdogo, hajajibu nilichokizungumzia, mara anataka tembelea nyota yangu kupata umaarufu..
Mex jawabu lake ni moja, akamwambia huo ni uoga!! Kama una uwezo jibu.
Si na wao wawe na media zao?Wewe unawatetea tamaduni lakini ukikaa na kuangalia mziki wao una future yeyote? Miaka mingapi wako kwenye game wameishia kuwaimbia masela Kama nyie ambao mnatoa support mitandaoni kwenye real hampo.
WEUSI hawakuanza kuwadiss hao jamaa. Chokochoko zilikuwa tangu kitambo tu tamaduni walikuwa wanadai WEUSI wanabebwa na Media. Ndio WEUSI wakaamua kuwalipua bas majamaa yakapanick balaa [emoji23][emoji23] bila ile diss track ya WEUSI hakuna mtu mwenye attention nao ni nyie wachache tu ambao hata kazi zao hamnunui na kwenye media hamrequest ngoma zao. Ndio maana mtu Kama Nash Mc kajikataa zake, Dizasta na yeye yuko kivyake. ..kundi Lina wasanii nane siju kumi ..tangu lini kundi kubwa ivyo likadumu mda mrefu? Hawana maisha marefu Hawa jamaa watapoteana tu
Motra kaingia cha kike! Afadhali angemgusa mmoja kagusa kundi zima ambalo vijana wengi wanaofanya hip hop au rap wana wa Tamaduni music ndiyo wanawachukulia mafadha wa fani..Duuh kuna mwamba mwingine naye kaputa mchanga anataka kuingilia huu ugomvi?
Sasa motra mbona kama atakua anagombewa hivyo, na diss yake ndio hivyo kakaa miezi kaiandika afu vibopa vinaingia booth masaa nakutoka na punchlines za moto za kumuua
Kuhusu huyo nikki ni fala sana. Ni MCmkali sana kweli ila ana ufala wa dharau haswaa na kuwaona wengine mafalaNikk ni MC mkali Nina album zake kadhaa naskizaga ni hatari tupu Ila anaharibu sana ana kipaji Ila anajiona yeye ndio Bora zaid na hiyo ndiyo ujinga wake. Amekuwa na mipasho mingi Hadi Roma kamchana afanye mziki muda unakwenda na wakati wake utapita.
NB: Ni ngumu Sana kwa watu wa A Town kuyielewa hip-hop ya Dar kwa sababu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Hip-hop ya Dar ni soft mnoo..
Hao ndo wajinga kabisa, kwasababu group lilikuwa lipo kwenye process za kukamilika kitambo kabla hata ya hiyo dissNa media yao ya Mawingu ikawa inasema "diss ya watu wachache imewafanya majamaa kuunda kikundi kabisa! Yaani ya watu wachache tu"
Halafu watu wanakuja wanasema KIKOSI KAZI wana wivu tu. Wakati WEUSI ndiyo waliyoanza. Fans wa weusi wanakurupuka sana.
nimeipata hyo habari humuhumu jf kuna mdau kacomment nyumaDuuh kuna mwamba mwingine naye kaputa mchanga anataka kuingilia huu ugomvi?
Sasa motra mbona kama atakua anagombewa hivyo, na diss yake ndio hivyo kakaa miezi kaiandika afu vibopa vinaingia booth masaa nakutoka na punchlines za moto za kumuua
Cholo brighter naye ni mkali mzee. Yaani flow yake imeathiriwa na flow za Tamaduni music hata upangaji wake wa vina. Moja ya mistari yake....Na VP khs cholo brighter na yy anataka kuachia diss track Kwa motra?
Kama Cholo kaununua hatari imekuwa mara 2.Duuh kuna mwamba mwingine naye kaputa mchanga anataka kuingilia huu ugomvi?
Sasa motra mbona kama atakua anagombewa hivyo, na diss yake ndio hivyo kakaa miezi kaiandika afu vibopa vinaingia booth masaa nakutoka na punchlines za moto za kumuua
Pamoja na hayo yote bado hawaishi shoboSi na wao wawe na media zao?
Maisha magumu
Bado nikajitese na hipapu ngumu ya kazi gani?
Hipapu komeshio is evelithing[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app