Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Alichokifanya Cortex ni uwezo binafsi ambao sio kila Mc naweza, kwa muda mfupi tu tangu motra kaachia diss jamaa katoa bars kali za kumjibu ambazo mimi naweza kusema ni freestyle

Pengine hata yeye motra amepata uoga kujibu kutokana na kwamba huwenda ilimchukua muda mrefu kuandika hiyo diss, sasa anapokuja ku battle na metrix anaingiwa na uoga maana jamaa ni kama ana waiter wa mistari anafanya kuagiza tu
Motra ni rapper na Mex ni lyricist. Motra anavina vya mwisho ukimwangilia kitu ambacho yeyote anaweza kafanya. Mex ni lyricist si hilo bali anauwezo wa kurap. Mex ana vina vya kati na vya mwisho na vina make sense Motra hawezi hili. Vina vyake ni vya mwisho.

Kingine Mex ana uwezo mkubwa wa kufanya freestyle kitu ambacho Motra hawezi. Motra analigundua hili Na kingine ulichokisema ni sahihi. Mex kajibu kwa muda mfupi, na akamwambia anasubiri ajibu anamzika futi 12.

Na lyricist ili kumuelewa inahitaji uwe na akili na uwe na info kama Mex alivyomuelimisha Motra kumuelewa Uno. Motra anaogopa!! Akiulizwa anajibu Mex kwangu ni mdogo, hajajibu nilichokizungumzia, mara anataka tembelea nyota yangu kupata umaarufu..

Mex jawabu lake ni moja, akamwambia huo ni uoga!! Kama una uwezo jibu.
 
Kama anamuona motra ni mkali basi aje humu tu battle kwa freestyle tuone kama hatujamkalisha

Mex kaua na motra akijitusu kujibu tu amekwishaaa, nilimsikia kwenye interview yake jana mpaka anajichanganya, mwanzo alisema kawa inspired na tamaduni music baadaye akakanusha
Sasa hapo ujue Motra ana kiwewe!

Yaani dalili za kiwewe!

Na huwezi amini, Mex kwenye interview yake anasema yeye ana full package tayari amesha rekodi kuhusu Motra na mzigo upo tayari. Jana kwenye tweet yake akaandika anytime mzigo unaweza dondoka.

Na kama Motra haamini kamwambia ajibu tu diss track yake.

Yaani huyu Motra tumwache tu aendelee kutumwa bia na Joh!
 
Motra ni rapper na Mex ni lyricist. Motra anavina vya mwisho ukimwangilia kitu ambacho yeyote anaweza kafanya. Mex ni lyricist si hilo bali anauwezo wa kurap. Mex ana vina vya kati na vya mwisho na vina make sense Motra hawezi hili. Vina vyake ni vya mwisho.

Kingine Mex ana uwezo mkubwa wa kufanya freestyle kitu ambacho Motra hawezi. Motra analigundua hili Na kingine ulichokisema ni sahihi. Mex kajibu kwa muda mfupi, na akamwambia anasubiri ajibu anamzika futi 12.

Na lyricist ili kumuelewa inahitaji uwe na akili na uwe na info kama Mex alivyomuelimisha Motra kumuelewa Uno. Motra anaogopa!! Akiulizwa anajibu Mex kwangu ni mdogo, hajajibu nilichokizungumzia, mara anataka tembelea nyota yangu kupata umaarufu..

Mex jawabu lake ni moja, akamwambia huo ni uoga!! Kama una uwezo jibu.
Na VP khs cholo brighter na yy anataka kuachia diss track Kwa motra?
 
Mkuu umemaliza kila kitu

Ma fans wa WEUSI wengi hawaelewi hata chimbuko la bifu limeanzia wapi, wanakurupuka tu na kuanza kuwa attack KKK bila kujua kua weusi ndio walianzisha na jamaa wamekuja kujibu
Na media yao ya Mawingu ikawa inasema "diss ya watu wachache imewafanya majamaa kuunda kikundi kabisa! Yaani ya watu wachache tu"

Halafu watu wanakuja wanasema KIKOSI KAZI wana wivu tu. Wakati WEUSI ndiyo waliyoanza. Fans wa weusi wanakurupuka sana.
 
Motra ni rapper na Mex ni lyricist. Motra anavina vya mwisho ukimwangilia kitu ambacho yeyote anaweza kafanya. Mex ni lyricist si hilo bali anauwezo wa kurap. Mex ana vina vya kati na vya mwisho na vina make sense Motra hawezi hili. Vina vyake ni vya mwisho.

Kingine Mex ana uwezo mkubwa wa kufanya freestyle kitu ambacho Motra hawezi. Motra analigundua hili Na kingine ulichokisema ni sahihi. Mex kajibu kwa muda mfupi, na akamwambia anasubiri ajibu anamzika futi 12.

Na lyricist ili kumuelewa inahitaji uwe na akili na uwe na info kama Mex alivyomuelimisha Motra kumuelewa Uno. Motra anaogopa!! Akiulizwa anajibu Mex kwangu ni mdogo, hajajibu nilichokizungumzia, mara anataka tembelea nyota yangu kupata umaarufu..

Mex jawabu lake ni moja, akamwambia huo ni uoga!! Kama una uwezo jibu.
Mkuu hip hop unaijua, sina shaka na wewe kabisa
 
Mnaleta sana ukanda ndiyo tatizo.
Na ni kwanin utunge mashairi maguumu mpaka wengine wasiyaelewe ndiyo hip hop inasema hivyo?
Kwani lazima kila kitu uelewe mzee?

Kama pure mathematics huielewi baki na basic mathematics.

Halafu nani analeta ukanda?
 
Na VP khs cholo brighter na yy anataka kuachia diss track Kwa motra?
Duuh kuna mwamba mwingine naye kaputa mchanga anataka kuingilia huu ugomvi?

Sasa motra mbona kama atakua anagombewa hivyo, na diss yake ndio hivyo kakaa miezi kaiandika afu vibopa vinaingia booth masaa nakutoka na punchlines za moto za kumuua
 
Chief nimeishia kusoma hapo uliposema umeanza kufatilia mziki mwaka 2000 😂

Ur still a junior. Mimi nakaa meza moja na Chief Ramson( nowdays anajiita Zavara) yani mc Zaiid nimemuona akizaliwa.
Reference yako ya kina juma nuture na kina inspector Haroun ni expirience ya juzi kabisa bado hainipi sababu ya kukuamini kuwa wewe ni mkali kuliko Motra otherwise weka ngoma yako hapa.
Kusoma vitabu vya mashairi ni jambo moja, na kuyachana hayo mashairi ni jambo lingine.

Kubali-kataa dogo amewachana kwa akili na style kali sana hao mabraza zako na mmeumia kweri-kweri.

Huyu motra labda mumjibu kwa albam mzima 🤣🤣🤣
Sasa ulitaka nianze kufuatilia miaka ipi? Mi si zao la tisini Mzee?

Kwa kuwa nimeipenda Hip Hop nilirudi mpaka miaka ya nyuma(kusikiliza wasanii). Nimesikiliza mistari mpaka ya kwanza unit, Hasheem dogo( huyu mwamba ni mafia).

Ngoja nikuache.
 
Motra ni rapper na Mex ni lyricist. Motra anavina vya mwisho ukimwangilia kitu ambacho yeyote anaweza kafanya. Mex ni lyricist si hilo bali anauwezo wa kurap. Mex ana vina vya kati na vya mwisho na vina make sense Motra hawezi hili. Vina vyake ni vya mwisho.

Kingine Mex ana uwezo mkubwa wa kufanya freestyle kitu ambacho Motra hawezi. Motra analigundua hili Na kingine ulichokisema ni sahihi. Mex kajibu kwa muda mfupi, na akamwambia anasubiri ajibu anamzika futi 12.

Na lyricist ili kumuelewa inahitaji uwe na akili na uwe na info kama Mex alivyomuelimisha Motra kumuelewa Uno. Motra anaogopa!! Akiulizwa anajibu Mex kwangu ni mdogo, hajajibu nilichokizungumzia, mara anataka tembelea nyota yangu kupata umaarufu..

Mex jawabu lake ni moja, akamwambia huo ni uoga!! Kama una uwezo jibu.
Hapo umepatia, kuna bars za Mex Cortez zinaweza kukupita ukisikiliza tena ndio unakuja kuelewa ukubwa wa wordplay aliyofanya. Motra ni an average rapper na anachokifanya Mex Cortez ni kama kwenye ngumi anampiga Motra jabs kwanza huku akijua anaweza kummaliza na punch saa yoyote, njia anayotakiwa kuichukua Motra ni kujifanya hana muda wa kumjibu Mex ili liishie hewani.
 
Wewe unawatetea tamaduni lakini ukikaa na kuangalia mziki wao una future yeyote? Miaka mingapi wako kwenye game wameishia kuwaimbia masela Kama nyie ambao mnatoa support mitandaoni kwenye real hampo.
WEUSI hawakuanza kuwadiss hao jamaa. Chokochoko zilikuwa tangu kitambo tu tamaduni walikuwa wanadai WEUSI wanabebwa na Media. Ndio WEUSI wakaamua kuwalipua bas majamaa yakapanick balaa [emoji23][emoji23] bila ile diss track ya WEUSI hakuna mtu mwenye attention nao ni nyie wachache tu ambao hata kazi zao hamnunui na kwenye media hamrequest ngoma zao. Ndio maana mtu Kama Nash Mc kajikataa zake, Dizasta na yeye yuko kivyake. ..kundi Lina wasanii nane siju kumi ..tangu lini kundi kubwa ivyo likadumu mda mrefu? Hawana maisha marefu Hawa jamaa watapoteana tu
Si na wao wawe na media zao?

Maisha magumu
Bado nikajitese na hipapu ngumu ya kazi gani?
Hipapu komeshio is evelithing[emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Duuh kuna mwamba mwingine naye kaputa mchanga anataka kuingilia huu ugomvi?

Sasa motra mbona kama atakua anagombewa hivyo, na diss yake ndio hivyo kakaa miezi kaiandika afu vibopa vinaingia booth masaa nakutoka na punchlines za moto za kumuua
Motra kaingia cha kike! Afadhali angemgusa mmoja kagusa kundi zima ambalo vijana wengi wanaofanya hip hop au rap wana wa Tamaduni music ndiyo wanawachukulia mafadha wa fani..
 
Nikk ni MC mkali Nina album zake kadhaa naskizaga ni hatari tupu Ila anaharibu sana ana kipaji Ila anajiona yeye ndio Bora zaid na hiyo ndiyo ujinga wake. Amekuwa na mipasho mingi Hadi Roma kamchana afanye mziki muda unakwenda na wakati wake utapita.

NB: Ni ngumu Sana kwa watu wa A Town kuyielewa hip-hop ya Dar kwa sababu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Hip-hop ya Dar ni soft mnoo..
Kuhusu huyo nikki ni fala sana. Ni MCmkali sana kweli ila ana ufala wa dharau haswaa na kuwaona wengine mafala
Na ndo inamgharimu pia. Wazaramo na hipapu wapi bana. Washazoea mipasho yao. Nilijifunza hizo mbanga za hipapu ngumu hapa kwetu no ngumu sana kutoboa. Yaan usipojoadjust na soko ni balaa. Mbaya zaidi uwe unaitegemea hiyo hiyo kama ajira yako rasmi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Na media yao ya Mawingu ikawa inasema "diss ya watu wachache imewafanya majamaa kuunda kikundi kabisa! Yaani ya watu wachache tu"

Halafu watu wanakuja wanasema KIKOSI KAZI wana wivu tu. Wakati WEUSI ndiyo waliyoanza. Fans wa weusi wanakurupuka sana.
Hao ndo wajinga kabisa, kwasababu group lilikuwa lipo kwenye process za kukamilika kitambo kabla hata ya hiyo diss

Afu hata interview wanazofanyiwa member wa kikosi kazi pale cluods zimekuwa zikiendeshwa na maswali yenye kuchochea bifu tu

Kwenye intrrview ya mawenge alipokua anaitambulisha ngoma yake ya nahamia weusi, mchomvu akampigia simu nikki mbishi yani kwa perception yake aliona kama nikki hakufurahia ile ngoma na kwa namna ambavyo nikki amekuwa mzee wa kuchana watu makavu walijua angemuaribia pale pale

Lakini nikki alijibu wisely sana na aka-tweet kuonesha kutopendezewa na namna ambavyo clouds wamekua wakuda
 
Duuh kuna mwamba mwingine naye kaputa mchanga anataka kuingilia huu ugomvi?

Sasa motra mbona kama atakua anagombewa hivyo, na diss yake ndio hivyo kakaa miezi kaiandika afu vibopa vinaingia booth masaa nakutoka na punchlines za moto za kumuua
nimeipata hyo habari humuhumu jf kuna mdau kacomment nyuma
 
Na VP khs cholo brighter na yy anataka kuachia diss track Kwa motra?
Cholo brighter naye ni mkali mzee. Yaani flow yake imeathiriwa na flow za Tamaduni music hata upangaji wake wa vina. Moja ya mistari yake....

Haka kamchezo natamani kwa Sande,
Mi ni zaidi ya Baba Levo kwenye ukoo wa Mzee Nyange,
Na siogopi kuitwa mshamba,
Maana najua tisa na sita ni sawa ni mageuzi tu ya namba,

Ni vitasa kwa marapa wa juzi,
Msiombe mnikute Tabata si bata tu mtakula hata Mbuzi,
Na si la kipuuzi, Now wapuuzi wanaacha ukweli,
Mnasifia MC kinata wa Singeli...
 
Duuh kuna mwamba mwingine naye kaputa mchanga anataka kuingilia huu ugomvi?

Sasa motra mbona kama atakua anagombewa hivyo, na diss yake ndio hivyo kakaa miezi kaiandika afu vibopa vinaingia booth masaa nakutoka na punchlines za moto za kumuua
Kama Cholo kaununua hatari imekuwa mara 2.

Cholo naye ni msanii ambaye anawakubali sana wale wana wa Tamaduni music. Hata flow yake, upangaji wa vina, jinsi ya kuchora mashairi yaani mulemule. Ukimsikiliza tu unajua hili ni zao la Tamaduni.
 
Si na wao wawe na media zao?

Maisha magumu
Bado nikajitese na hipapu ngumu ya kazi gani?
Hipapu komeshio is evelithing[emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Pamoja na hayo yote bado hawaishi shobo

Kuna siku media moja ilikua inamfanyia interview nikki mbishi walimuuliza nikki mbishi mbona nyimbo zako hazichezwi redioni

Akawajibu mimi ndio niwaulize nyie kwanini hamchezi nyimbo zangu, wakasema "wewe hujawahi kuleta nyimbo zako studio ili tuzicheze"

Nikki akasema "mbona kwenye top ten ya nyimbo mnazozicheza kuna hadi ngoma za kina chris brown, ni lini chris brown alikuja studio kuleta ngoma zake?"
 
Back
Top Bottom