Pacbig
JF-Expert Member
- Oct 15, 2017
- 1,095
- 2,087
Hivi kuna mtu anasema Motra nae ni mkali?
Huyo ni mediocre sana hana ukali wowote. Ana flow mbaya anaunga unga mistari, he is good for nothing. Chuga ina wasanii wakali kama Chindoman, JCB sio hii takataka Motra.
Anapata wapi ubavu wa kumdiss Uno?