Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Niko poa mtu wenu pamoja na mashabiki/
Pamoja kwenye mziki heshima kwangu haibanduki/
Mwanzo ni kale toka shule ya msingi mpaka kwenye ramani nlipofika sibanduki/
Kwa mmoja hata vikundi mludego nakata pindi/
Macho wanatumia zaidi wanasadiki/
Mi nungunungu uhaba wa miba hau nifiki/
Masikio yanasikia mitego nategua /
mengi nimepita machache yabakia/
Nikolabo na niko rhymes tena twafukia/
Walio zama wakiibuka hatua tunasogea/
Wakitembea wakisogea mizigo tumeshatua/
Uzembe waleta hasara na nafsi wazijutia/
Bado tupo jikoni kisha sokoni hewani tunawazingua/
Na umoja wa mashairi najua mmesikia/
Wewe ni motra au mota ni Bora uwe promota/
Wenge likizidi utaletewa medical doctor!/
Ukizidisha ukambale utapata ulichofuata/

NB:-Hahaha mleteni mc wenu mchague na venue mje mchukue maiti yenu....

cc Scars
Umetishaaaaa
 
Alafu Huo wimbo umandikwa na weusi wote ikabakia mmoja wao kuwa yupo ofisini ikabidi wamfuate hadi halimashauri ya wilaya kuomba usaidizi
 
Hahahaha Ila wazeee tuacheni utani Motraa anasifa Sana aise.

Mtu mmoja dhidi ya mtu nane na mpaka Sasa hivi zimekaa kimyaaaa

Wale jamaa wamedhibitisha kuwa ni #WEUPE
 
Na wewe mbona hajakushirikisha mkuu? Maana inaonesha ulikuwepo.
 
Wakuu mwenye hizi nyimbo naomba mnisaidie nimeitafuta kila mahali sijaipata
  • Motra....kuna mdada anaimba hivi
Nilikufanya baby spesho ndio kosa langu tu bila kujua nini kesho naumia moyoni
  • Stamina ft Sheta freestyle
Nadhani walikua kwenye XXL wanachana freestyle kwa kutumia beat ya Xzibit na Tupac
 
jamaa yuko vizuri sana, nilianza kumfatilia kwenye zile challenges za yes bana jamaa ni mnyama alitisha
Huyo jamaa ni mhindi aliyechamgamka na siku hizi hip hop india wanaifagilia kinomaaa, mwaka majuzi aliendaga ludacris ebwana walijaaa watu balaa mjini india hapo
 
Hao KIKOSI kazi wanatafuta namna ya kurudi kwenye game maana bongo makundi ya hip-hop ni mawili tu.
WEUSI waliwapotezea Sasa wanatafuta namna ya kurudi. Bila WEUSI kuwadiss Hawa jamaa watapotea kwenye ramani ya mziki.
Motraa Chali wa nyumbani kabisa kawadiss ..wakijibu Kama kundi watakuwa ni WAPUMBAVU.
P mawenge anasanuka mapema anaona Hana maisha maana machizi wakina ZaiiDyao na mansuli washapotea kwenye game. Uno bado anajikongoja, Nikk mbishi hamuna anayemuelewa na mipasho yake. Stereo Yuko busy na kazi za kuajiriwa ..hivyo hili kundi halieleweki malengo yake ni yapi yani lipo lipo tu. Songa na yeye maji kupwaa maji kujaa.

Bila WEUSI kuwadiss Basi tusahau uwepo wa Hawa jamaa Kama kundi. Kila mtu ataanza kula kona yake.
Weusi wana impact gani kwenye game!? Maana careerwise namuona Joh tu. Hilo kundi limekuwa kichaka cha kujifichia Lord, G nako na yule Nickson.
 
Oyaaa nyie ma haters kaskizeni ngoma la Motraa #WEUPE PEE ..acheni uduwanzi hip-hop hamuiwezi nyie mamluki munaaribu gemu machali wa dar mnafeli Sana.

Arusha imewakilisha bongo hip-hop kimataifa kwa miaka mingi Sana. Ni takataka gani ya Dar ishawahi kufika hata Nigeria hapo kupiga kolabo?

X plastaz wamepiga show za kushato hapo USA, ENGLAND, UHOLANZI, na pengine pengi Tena miaka hiyo hata machali wengi hamjazaliwa hapa.

G-sun kapiga BET cypher 2009 pembeni akiwamo, Nick minaji, Nipsey hastle, KRS One na wakali kibao, hao wakina Nikk walikuwa wapi wasifanye hizo movement, wakali Kama akina Fid Q, KIKOSI CHA MIZINGA, wanaheshimu hip-hop ya Chuga maana wanajua ilipowatoa.

Nyie watoto wa juzi mamluki hamjui kitu oote kuhusu hip-hop mnaannza wadiss WEUSI hujui walipoanza game wakati wengine mpo kwenye viuno vya baba zenu pumbavu kabisa.

Joh Makin anarap huyo Nikk mbishi alikuwa chokoraa tu mitaa ya hapo sinza kafunzwa mziki na wahuni role model wake ni Joh leo anakuja leta chuki za kimama wakati kipaji anacho anashindwa kutumia nafasi aliyopata kazi kutowa track za kudiss ma presenta, na wakali wengine wa media halafu akidisiwa na kuchanwa ukweli analeta mbambamba mingi.

Nyie machali mkae mkijua watu Wana switch game ili kuvutia ma fansi maana Kila kizazi kinakuja na staili yake. Sasa huyo Nikk na wenzie machoko wanakalia kulia lia tu na muda unakwenda ..next three years Hawa mbanga tutawatoa kweye game mazima.

Hip-hop ipo Arusha na Kenya tu ..hapo dar wengi mipasho.

Kama unabisha BISHA.
 
Hahahaha Ila wazeee tuacheni utani Motraa anasifa Sana aise.

Mtu mmoja dhidi ya mtu nane na mpaka Sasa hivi zimekaa kimyaaaa

Wale jamaa wamedhibitisha kuwa ni #WEUPE
Kesho mex anakuja na futi 12, sijui itakuwaje ila inategemewa kua zaidi ya kimbari
 
Oyaaa nyie ma haters kaskizeni ngoma la Motraa #WEUPE PEE ..acheni uduwanzi hip-hop hamuiwezi nyie mamluki munaaribu gemu machali wa dar mnafeli Sana.

Arusha imewakilisha bongo hip-hop kimataifa kwa miaka mingi Sana. Ni takataka gani ya Dar ishawahi kufika hata Nigeria hapo kupiga kolabo?

X plastaz wamepiga show za kushato hapo USA, ENGLAND, UHOLANZI, na pengine pengi Tena miaka hiyo hata machali wengi hamjazaliwa hapa.

G-sun kapiga BET cypher 2009 pembeni akiwamo, Nick minaji, Nipsey hastle, KRS One na wakali kibao, hao wakina Nikk walikuwa wapi wasifanye hizo movement, wakali Kama akina Fid Q, KIKOSI CHA MIZINGA, wanaheshimu hip-hop ya Chuga maana wanajua ilipowatoa.

Nyie watoto wa juzi mamluki hamjui kitu oote kuhusu hip-hop mnaannza wadiss WEUSI hujui walipoanza game wakati wengine mpo kwenye viuno vya baba zenu pumbavu kabisa.

Joh Makin anarap huyo Nikk mbishi alikuwa chokoraa tu mitaa ya hapo sinza kafunzwa mziki na wahuni role model wake ni Joh leo anakuja leta chuki za kimama wakati kipaji anacho anashindwa kutumia nafasi aliyopata kazi kutowa track za kudiss ma presenta, na wakali wengine wa media halafu akidisiwa na kuchanwa ukweli analeta mbambamba mingi.

Nyie machali mkae mkijua watu Wana switch game ili kuvutia ma fansi maana Kila kizazi kinakuja na staili yake. Sasa huyo Nikk na wenzie machoko wanakalia kulia lia tu na muda unakwenda ..next three years Hawa mbanga tutawatoa kweye game mazima.

Hip-hop ipo Arusha na Kenya tu ..hapo dar wengi mipasho.

Kama unabisha BISHA.
Umekazania kasikilize weupe kasikilize weupe, hivi unaelewa hata hiyo "weupe" ilianzishwa na diss track ya maujanja dhidi ya weusi?

Hapo nick maujanja sijamuelewa aliposema nsyuka alitudanganya kapiga show sauz kumbe alichana nje ya geti[emoji23][emoji23]..embu nieleweshe mkuu
 
Oyaaa nyie ma haters kaskizeni ngoma la Motraa #WEUPE PEE ..acheni uduwanzi hip-hop hamuiwezi nyie mamluki munaaribu gemu machali wa dar mnafeli Sana.

Arusha imewakilisha bongo hip-hop kimataifa kwa miaka mingi Sana. Ni takataka gani ya Dar ishawahi kufika hata Nigeria hapo kupiga kolabo?

X plastaz wamepiga show za kushato hapo USA, ENGLAND, UHOLANZI, na pengine pengi Tena miaka hiyo hata machali wengi hamjazaliwa hapa.

G-sun kapiga BET cypher 2009 pembeni akiwamo, Nick minaji, Nipsey hastle, KRS One na wakali kibao, hao wakina Nikk walikuwa wapi wasifanye hizo movement, wakali Kama akina Fid Q, KIKOSI CHA MIZINGA, wanaheshimu hip-hop ya Chuga maana wanajua ilipowatoa.

Nyie watoto wa juzi mamluki hamjui kitu oote kuhusu hip-hop mnaannza wadiss WEUSI hujui walipoanza game wakati wengine mpo kwenye viuno vya baba zenu pumbavu kabisa.

Joh Makin anarap huyo Nikk mbishi alikuwa chokoraa tu mitaa ya hapo sinza kafunzwa mziki na wahuni role model wake ni Joh leo anakuja leta chuki za kimama wakati kipaji anacho anashindwa kutumia nafasi aliyopata kazi kutowa track za kudiss ma presenta, na wakali wengine wa media halafu akidisiwa na kuchanwa ukweli analeta mbambamba mingi.

Nyie machali mkae mkijua watu Wana switch game ili kuvutia ma fansi maana Kila kizazi kinakuja na staili yake. Sasa huyo Nikk na wenzie machoko wanakalia kulia lia tu na muda unakwenda ..next three years Hawa mbanga tutawatoa kweye game mazima.

Hip-hop ipo Arusha na Kenya tu ..hapo dar wengi mipasho.

Kama unabisha BISHA.
Acha ukanda chalii....huyuhuyu mex kapata nafasi ya kupiga collabo na CASSIDY kwenye mixtape yake...we unazungumzia Nigeria....! Kina balozi Dola soul wameshawakilisha huko brooklyn NY kuna documentary flan alifanya kitambo.....kina Nash MC washawakilisha huko ujerumani
 
Back
Top Bottom