Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Clouds ni wakuda sana!Hao ndo wajinga kabisa, kwasababu group lilikuwa lipo kwenye process za kukamilika kitambo kabla hata ya hiyo diss
Afu hata interview wanazofanyiwa member wa kikosi kazi pale cluods zimekuwa zikiendeshwa na maswali yenye kuchochea bifu tu
Kwenye intrrview ya mawenge alipokua anaitambulisha ngoma yake ya nahamia weusi, mchomvu akampigia simu nikki mbishi yani kwa perception yake aliona kama nikki hakufurahia ile ngoma na kwa namna ambavyo nikki amekuwa mzee wa kuchana watu makavu walijua angemuaribia pale pale
Lakini nikki alijibu wisely sana na aka-tweet kuonesha kutopendezewa na namna ambavyo clouds wamekua wakuda
Walisababisha bifu ya Nako 2 Nako na Mapacha.