Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

Hahah yule dogo anampiga shoti lect anaekojolea mlangon pale😅😅😅
Eeh ni hiyo Mkuu

semaa yule jamaa hakuwa lecture ni mshikaji alikuwa kawazidi darasa kuna sehemu ile Rancho anatolewa class akawa anaingia class yoyote mwamba unamuona darasan
 
images (3).jpeg
 
Eeh ni hiyo Mkuu

semaa yule jamaa hakuwa lecture ni mshikaji alikuwa kawazidi darasa kuna sehemu ile Rancho anatolewa class akawa anaingia class yoyote mwamba unamuona darasan
Yule proffesa wa chuo Tai yake ya kupachika kumbe😅😅😅 Hana time ya kupoteza
 
Hii n list ya movie za kihindi kwa mtazamo wangu naona ndio Bora kwa muda wote Bollywood hasa kwenye love story kama hutaielewa list yangu unaweza taja na zako zilizo kubamba kwangu movie Bora n

1. Dilwale dulhia lejeynge srk
2. Darr srk na sanny deol
3. Fida ya Shahid Kapoor
4. Pyaa imposiblle ya Uday Chopra
5. Dil la rishta Arjun rampal
6. Fana Amer khn
7. Barfi rabbir Kapoor
8. Jeet sanny deol na Salman Khan
9. Tere naam Salman Khan
10. Main duje dko dya sohil Khan na sajay dutt
11. Dost Akshay kumar.na booby deol

Kwa upande wangu movie za love. Story India izo ndio the best Kama Kuna nilio sabau unaweza ongezea shukurani
Kwa sasa Bollywood hawawawezi Telugu katika movie za Love story, Bollywood ilikuwa zamani sio sasa,Telugu wapo vizuri wakifuatiwa na hao Bollywood na Kollywood, Tamil film industry nao wakifuatia..

kwa movie zenye story za kibabe angalia wale wahimdi wa kusini Tollywood hawa movie zao hazina masuala ya love story kubembelezana ni mkono tu,mwaka jana kuna movie inaitwa RRR kacheza Nandamur Ramarao aisee kwa miaka mingi ya karibuni naweza kusema hilo ndio movie bora kutoka india –

kuna wengine kama Mollywood wanajitahidi ila wamebase zaidi na tamthilia..pia kuna Jollywood na dholywood hawa nao wanatoa films kali sana,,watu wasikariri kusema kwamba film zote za India ni bollywood noo! India kuna film industry zaid ya kumi na hiyo Bollywood ikiwemo
 
Back
Top Bottom