Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

3 idiots.

Kite

Koyla

Dhadkan.
Kal hona ho.

List bila ya hizo movies Basi ni batili ama mwandishi hajawahi kua mpenzi mzuri wa movies za kihindi
 
3 Idiots sio Love Story lakini
Katizame tena ama rudia tena kutafakari,yule Binti ambae walisoma wote na baadae akatoroshwa kwenye harusi asiolewe na tajiri wakaenda msaka jamaa vijijini.

Ile movie ni love story iliyobase kwenye maisha ya chuo na life after chuo na jinsi ya vipawa vya watu na mapenzi yao. Kama utakumbuka vizuri lakini
 
Movie inahusu vijana wawili walioenda kumtafuta rafiki yao waliyesoma nae na kugundua alikua anamsomea mtoto wa tajiri kwa maana hata jina halikua lake, ni Comedy Drama.
 
Mohhabatein
Koyla
Loha
Mohra........Tangu nimejiunga na JF huu ndio uzi pekee watu wametaka movie kali na kweli ni kali. Wahindi wametufanya tuongee lugha moja humu. Kule kwenye thread za hollywood mtu anakutajia movie unaitafuta,unaishia kujutia muda wako.
 
Movie inahusu vijana wawili walioenda kumtafuta rafiki yao waliyesoma nae na kugundua alikua anamsomea mtoto wa tajiri kwa maana hata jina halikua lake, ni Comedy Drama.
Comedy,drama and love. Yule binti aliesomea udaktari unamkumbuka?!! Wimbo wa zoobi zoobi talala unaukumbuka?!! Wakiwa kwenye kale kapiki piki unakumbuka?!!

Mwisho wakati wanamtafuta yule Binti kwa nini alitoroka siku ya ndoa yake akaenda kijijini na washikaji na akampata jamaa?!
 
Hongera kwa kumbu kumbu nzuri,
Umeitazama mara ngapi?
 
Tarzan

Adhaa kanoon

Krish 1.2.3

Disco dancer

Kuchkuch hotae

Kaabil ( hii movie kama Moyo wako laini utalia mpwa kuna vipande very sad nadhani ndo movie iliyonipa hisia kuliko movie zote )

Agnepaath

Jodhaa Akbar

War

Om shant Hom

My name is khan

Dilwalle

Chennai expers

List yangu pendwa hii
 
Back
Top Bottom