Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

Hahah yule dogo anampiga shoti lect anaekojolea mlangon paleπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Eeh ni hiyo Mkuu

semaa yule jamaa hakuwa lecture ni mshikaji alikuwa kawazidi darasa kuna sehemu ile Rancho anatolewa class akawa anaingia class yoyote mwamba unamuona darasan
 
Eeh ni hiyo Mkuu

semaa yule jamaa hakuwa lecture ni mshikaji alikuwa kawazidi darasa kuna sehemu ile Rancho anatolewa class akawa anaingia class yoyote mwamba unamuona darasan
Anhaa alikua kama Nyapara
 
Eeh ni hiyo Mkuu

semaa yule jamaa hakuwa lecture ni mshikaji alikuwa kawazidi darasa kuna sehemu ile Rancho anatolewa class akawa anaingia class yoyote mwamba unamuona darasan
Yule proffesa wa chuo Tai yake ya kupachika kumbeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Hana time ya kupoteza
 
Kwa sasa Bollywood hawawawezi Telugu katika movie za Love story, Bollywood ilikuwa zamani sio sasa,Telugu wapo vizuri wakifuatiwa na hao Bollywood na Kollywood, Tamil film industry nao wakifuatia..

kwa movie zenye story za kibabe angalia wale wahimdi wa kusini Tollywood hawa movie zao hazina masuala ya love story kubembelezana ni mkono tu,mwaka jana kuna movie inaitwa RRR kacheza Nandamur Ramarao aisee kwa miaka mingi ya karibuni naweza kusema hilo ndio movie bora kutoka india –

kuna wengine kama Mollywood wanajitahidi ila wamebase zaidi na tamthilia..pia kuna Jollywood na dholywood hawa nao wanatoa films kali sana,,watu wasikariri kusema kwamba film zote za India ni bollywood noo! India kuna film industry zaid ya kumi na hiyo Bollywood ikiwemo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…