Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Nope,Maybe more than 5 times,haiboi.
Imeshawahi kuitazama Kite?!! Imeektiwa USA na Mexico. Bonge moja la love story
[emoji38][emoji38]yaani wale mataahira hasa Amirkhan, me nilicheka na pale wameenda kwa yule rafiki yao baba yake alikuwa mgonjwa wakakuta mama yake anasukuma chapati halafu hichohicho kisukumio anamuwekea mwilini[emoji3]Sehemu nilicheka sanaa ni pale wamevamia harusi ya Mona (Mtoto wa professor wao) [emoji1787] Na wakaharibu as usual
Nope,
Ni ya Kihindi pia?
Kwa sasa napata shida kuzipata movies za Kihindi sijui sites zake (zile za zamani lakini)
Naam,View attachment 2598669
Tafuta hii kitu utazame. Story fulani nzuri sana,bonge moja la love story,naweza kukwambia kua Kuch Kuch hota hae haiingii!!. Upo Dar nikuelekeze pahari?!!
Naam
Ok,Ilala mtaa wa Arusha kuna movie library nzuri sana na you will all the best collection,, high quality, translated. Kwa miaka zaidi ya mitano ndio nachukuaga movies hapo, movie moja shs 1000,unaenda na flash yako tuNaam,
Nipo Dar
Hii movie yenye hili song ilikuwa Kali sanaList ni scam bila ya π
1.Jaanawale
2.Loha
3.Mohra
4.Dhadkan
5kyamat
6.vijey party
7.Disco dancer
8.koyla
9.Adha kanoon
10.Jaan dushman ( Tulikuwa tunaita Terminator ya kihindi)
Translated kivipi?Ok,Ilala mtaa wa Arusha kuna movie library nzuri sana na you will all the best collection,, high quality, translated. Kwa miaka zaidi ya mitano ndio nachukuaga movies hapo, movie moja shs 1000,unaenda na flash yako tu
Hapana,zile kiukweli sitazami Mimi,hata bongo movies tu sitazami,nikisafiri na basi nitaweka earphones,nitalala safari nzima!Translated kivipi?
Zile za kina Dj Murphy?
Ooh safi kabisa,Hapana,zile kiukweli sitazami Mimi,hata bongo movies tu sitazami,nikisafiri na basi nitaweka earphones,nitalala safari nzima!
Translation nikiwa na maana zinakua na subtitles!! English
Kwel zikianza nyimbo ni mwendo wa ku forward β©β©Wahind zaman unakula kideo magumi mwanz mwisho ,kweny kuch kuchi hotaee inapelekwa mbeleπ π π π
Ok, nasubiria mrejesho. Kwenye list utakayoenda nakupa na Kaabil,chukua na hiyo,love story na action kidogo,love story ya vipofu wawili walioana na hatimae mke akajiua baada ya kubakwa na maadui wa mmewe. Sterling wa Kite na hii Kaabil ni mmoja,Hirithik Roshan.. zote hizi mbili utaenjoy na almost zitakuacha machozi yakikububujika!!Ooh safi kabisa,
Hiyo imekaa poa, nitawatembelea
Jaan dushman tulikuwa tunaiita (atuli)List ni scam bila ya π
1.Jaanawale
2.Loha
3.Mohra
4.Dhadkan
5kyamat
6.vijey party
7.Disco dancer
8.koyla
9.Adha kanoon
10.Jaan dushman ( Tulikuwa tunaita Terminator ya kihindi)
πππPale Amirkhan katoka kumsin Priya.. πin virus voice remember life is race[emoji38][emoji38]yaani wale mataahira hasa Amirkhan, me nilicheka na pale wameenda kwa yule rafiki yao baba yake alikuwa mgonjwa wakakuta mama yake anasukuma chapati halafu hichohicho kisukumio anamuwekea mwilini
Walivyoona wakakataa kula[emoji1787]
Pengine amir alipokuwa anamuigiza baba yake yule binti anavyoongea na kithembe[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app