Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

Sunil Shetty anapelekewa jela kufanya uchunguzi wananchi a kumbe mtego na kupata mateso makali, anabandikwa vyeo kwenye mwili vivikwa vya moto , Bonge la picha hilo.

Bhai - Sunil shety

Discodancer - Chakaraboti

Jandushman - Kibanda umiza ilikuwa muvi pendwa sana.

Commando - By Chakaraboti

Salman Khan lile lenye song lililotrend sana OSANAM.
 
Dil Hai tumhaara
 
Qahar bonge la movie...ongezea na Rakshak hapo
 
Hiyo inaitwa vinashak Sunil Shetty anauzwa gerezani
 
Himmat
The Kick
Inspector Vijay
Jaya Janaki Nayaki
DJ
RRR
 
Hapo kuna movie na waigizaji wake au?
Sijaelewa huko mwishoni mwa kila movie mkuu
 
Hiyo inaitwa vinashak Sunil Shetty anauzwa gerezani
Rakshak ya sunil naikumbuka kuna lijamaa linanyonga watu kupitia mkanda wa saa


Raghuveer
Judge Mujrim
Ek Tha Raja
Vishwasghaat
Rakshak
Sapoot

Hizi ni filamu zangu Bora kabisa za Action za Sunil Shetty
 
1.Loha-Dharmendra,Amrish Puri...action kali balaa
2.Baazigar- Shah rukh Khan - stori isiyotabirika
3.Commando- Mithun Chakraboty - action na nachi tamu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…