and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
We jamaa mshamba tu, mlokole na suruali ya kitambaa na shati la kitenge anakuzidi vipi ? Utabaki kujiliza tu, mwanaume unazidiwaje kishamba😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa sina neno la ziada...PM amefunga ndio sababu ya kuweka wazi hili!Wana umri fulani wa wastani, unao waruhusu kuwa comfortable kuchati/kuwasiliana kwa kutumia threads badala ya PM.
Ujana raha sana.
Hahahahaa PM kafunga, Sasa ameniumiza kweli na ameuponda sana moyo wangu! 🤣🤣Kaka, mfate PM. Usikubali kushindwa. Hata ule Uzi alioanzisha leo, kaniambia lengo ilikuwa ni kukuumiza roho, ili ujiongeze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo Yule uliyemuanzishia thread?
Na Leo Naona na yeye kaanzisha thread kapata mume...nikajua ni wewe ..
Kwani mna umri gani??
🤣🤣🤣 hata sielewi imekuaje tena 🤣🤣🤣We jamaa mshamba tu, mlokole na suruali ya kitambaa na shati la kitenge anakuzidi vipi ? Utabaki kujiliza tu, mwanaume unazidiwaje kishamba😂😂😂
Unafurahi mwenyewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee kuna sehemu kitu hakiko sawa kwako, sio bureeee. Poleeee aseeehUnafurahi mwenyewe...
😂😂😂😂 mimi mwenyewe ni mwanasaikoloji na nina utimamu wa hali ya juu 😂😂😂😂Jamani aliye karibu na huyu mtu ampore cm, anako elekea ni kubayaa sasa, wamu wahishe kwa mtaalamu wa masuala ya saikolojia lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usije rudia makosa, lakini mzigo si umekula au bado?🤣🤣🤣 hata sielewi imekuaje tena 🤣🤣🤣
Nipo vizuri sana, Wewe si ulisema nisichulie serious mambo ya JF au!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee kuna sehemu kitu hakiko sawa kwako, sio bureeee. Poleeee aseeeh
Hapana ni watu tofauti kabisa.. Clepatina ni mwingine sio mimi IamBrianLeeSnrID ya mtu mmoja dadekii huku anajianzishia uzi anaolewa huku anajibembeleza akubaliwe 😁
Ndio ukweli ulivyo binafsi naamini hivyo ila sio mbaya unafurahisha 😬Hapana ni watu tofauti kabisa.. Clepatina ni mwingine sio mimi IamBrianLeeSnr
🤣🤣🤣🤣 Kwa hiyo najitongoza na kujikataa mwenyewe 🤣🤣🤣🤣 umewaza hovyo sana
Wewe ndo mgweno mwenyewe... Ugweno!Sio mimi!
Amempata mlokole sasa...🤣
Nina 34yrs sasa!
🤣🤣🤣🤣 haya 🤣🤣🤣🤣Ndio ukweli ulivyo binafsi naamini hivyo ila sio mbaya unafurahisha 😬
She did me wrong broh!
Nakazia