Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Wana umri fulani wa wastani, unao waruhusu kuwa comfortable kuchati/kuwasiliana kwa kutumia threads badala ya PM.

Ujana raha sana.
Hahahaa sina neno la ziada...PM amefunga ndio sababu ya kuweka wazi hili!
 
Kaka, mfate PM. Usikubali kushindwa. Hata ule Uzi alioanzisha leo, kaniambia lengo ilikuwa ni kukuumiza roho, ili ujiongeze
Hahahahaa PM kafunga, Sasa ameniumiza kweli na ameuponda sana moyo wangu! 🤣🤣
 
Back
Top Bottom