Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Nasemaje... Rimoyo ra mtu rimeraruriwa rikararurika 😆
A world hurts.... Wengi tuna mengi humuuu kama wanaumeee. Wanaume kazi yetu kubeba vitu vizito.. usikonde mzee! Mm nikikusimulia hapa utashangaa sana mpaka kuchagua kuwa jokeri humu jukwaani 🥹.
Moderator ombi langu la kuongeza jina kuwa "midabwada bin kibamia" limeishia wapiiiiiii?
 
Ila mimi ningekua mwanaume sidhani kama ningekataliwa ..au basi
 
Amnaaa kumkataa mtu hakuchoshi hisiaa. But what next ndo shida. Na sio kumkataa tu ndo kunaumiza jamani.. wanawake wanaohitaji kutuelewa in particular. Mana hata huku kwetu uzaramoni unyago hautoshi.. makungwi ndo wanaoachika.
 
Back
Top Bottom