🤣 🤣 🤣 🤣Kwani mna umri gani??
take it like a man!! don't sob!!She did me wrong broh!
Sio mgweno mkuu! Na huyo mgweno walisha achana, Sasa amepata mlokole 🤣🤣🤣Wewe ndo mgweno mwenyewe... Ugweno!
Kweli kabisaKuna siku utatambua kua hamna anaye kuumiza Duniani zaidi yako mwenyewe.
Sawa sawa ndio maana nimeamua kusonga mbele..take it like a man!! don't sob!!
Nasemaje... Rimoyo ra mtu rimeraruriwa rikararurika 😆Sio mgweno mkuu! Na huyo mgweno walisha achana, Sasa amepata mlokole 🤣🤣🤣
Najisajili CHAPUTA rasmi naomba na kadi yangu ya chama mkuu 🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣
Kaurarua haswa na kapoteza furaha ya moyo wangu sasa..Nasemaje... Rimoyo ra mtu rimeraruriwa rikararurika 😆
NAKAZIA KWA NYUNDO KUBWA KABISAKATAA NDOA
NDOA NI UTUMWA
Sawa sawa..NAKAZIA KWA NYUNDO KUBWA KABISA
Utoto everywhere😆🤸♂️Ndo Yule uliyemuanzishia thread?
Na Leo Naona na yeye kaanzisha thread kapata mume...nikajua ni wewe ..
Kwani mna umri gani??
We acha tu!Mapenzi haya ngoja tuwaachie wazungu. 🤣
Really?Nina 34yrs sasa
🤣🤣🤣🤣and 100 others haha nikajua watu 100 wamelike acha ujinga🤣
Kweli nina 34yrs hutaki kuaminiReally?