Bro mchezaji analipwa na serikali? Au huko ulaya mwalimu analipwa kiasi gani na tiger woods mcheza golf ni kiasi gani?Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?
Bajeti yote ya serikali itaelekezwa ktk ulipaji wa mishahara, walimu ni wengi mno.Tatizo lipo wapi kama mwalimu akilipwa milioni 8 kwa mwezi na Pacome akalipwa milioni 8 kwa mwezi?
Mkuu niamini mimi. Hii michezo mingine ni kama njia ya kuwapumbaza watu ili wasifanye mambo ya msingi ya kimaisha. Nakuhakikishia hiyo michezo isingekuepo hao vijana wangeenda uwanjani kucheza wao na kujifurahisha wala wasingekufa kwa stress. Chunguza kwa makini utakubali..Mkuu; angalia au pita kwenye vijiwe na kwingineko walipokusanyika hasa hili rika la vijana usikie wanachoongea kwa sauti na makelele - ni Mpira wa ndani ya nchi au Nje. Sasa kusingekuwa na mpira unadhani hao wangeliishia kuzungumzia nini na wapi, wangetumia muda wao kivipi (Disguised unemployment)? Kama binadamu tungeathirika kwa kukosa mojawapo ya Starehe (entertainment) na kukosa starehe huweza kusababisha msongo wa mawazo(Stress) na stress yaweza kusababisha shinikizo la damu, kuchanganyikiwa (uchizi) n.k. Kila kitu including wacheza mpira kina faida zake.
You are the true son of your fatherMkuu niamini mimi. Hii michezo mingine ni kama njia ya kuwapumbaza watu ili wasifanye mambo ya msingi ya kimaisha. Nakuhakikishia hiyo michezo isingekuepo hao vijana wangeenda uwanjani kucheza wao na kujifurahisha wala wasingekufa kwa stress. Chunguza kwa makini utakubali..
Mfano jamii zinazoishi maporini huko mbona wanabuni michezo yao na wanaishi kwa furaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjomba malimu hawezi kuvunjika miguu kwa kuchezea chaki
ili kazi iwe na mshahara hutegemea mambo mengiMchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?
Kwahiyo walimu wanazalisha utopolo[emoji23]una lipa kile unacho zalisha na thamani yako
[emoji23]Walimu hata magari hawataki, waongezewe mshahara wa nini, kupoteza fedha tu
Nasikia wanarefresh mind zetu etiKwa lengo tu la kubishana hebu tujiulize..
Hivi mcheza mpira ana add value gani kwenye maisha yetu ukilinganisha na daktari?
Mfano wacheza mpira wasingekuepo kungekua na athari gani ambayo tungepata kama binadamu?
Kwasababu elimu sio biashara wala entertainment ni kazi ya wito. Wakiweka mshahara mikubwa usije shangaa wanasiasa wanataka kuwa walimu.Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?
[emoji23]Yani unataka Pacome alipwe sawa na Mwalimu Mchwaka?
Kuna kitabu niliwahi kusoma (SELL LIKE CRAZY)Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?
Mpira wa nchi gani unaendeshwa kama hivyo????Vilabu vyote vinasajiliwa kwa mujibu wa sheria za serikali. Bodi ya ligi ipo chini ya serikali,serikali inaweza kuratibu, kuelekeza na kupanga viwango elekezi vya mishahara ya wachezaji
Mpira hauzalishi kivile kwa maana ya viingilio, ila umeunganishwa na biashara kupitia matangazo ya biashara za wadhamini na runinga.Kuna kitabu niliwahi kusoma (SELL LIKE CRAZY)
Kuna sehemu mwandishi amesema , " THERE IS DIFFERENCE BETWEEN BEING BUSY AND BEING PRODUCTIVE"
Walimu na madaktari wapo busy ila sio productive ( pesa)
Mpira ni biashara productive (inazalisha pesa nyingi)
Siku zote boss huwa haoni tabu kutoa pesa ndefu kwa wanaomsaidia kuzalisha (wafanyakazi wake)
Sio kweli, serikali inaweza kupanga kiwango cha chini tu ila haiwezi kulimitVilabu vyote vinasajiliwa kwa mujibu wa sheria za serikali. Bodi ya ligi ipo chini ya serikali,serikali inaweza kuratibu, kuelekeza na kupanga viwango elekezi vya mishahara ya wachezaji
Mkuu unajua bila madaktari hakuna mchezaji yoyote atakaethubutu kuingia uwanjani?Walimu na madaktari wapo busy ila sio productive ( pesa)
Anayekaribia kustaafu, tena huyo itakuwa ana degreeSio kweli hakuna mwalimu anayepwa laki tatu mwanzo nilipuza lqkin kuna walimu msingi wanalipwa milion na laki 7