Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂Mjomba malimu hawezi kuvunjika miguu kwa kuchezea chaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Mjomba malimu hawezi kuvunjika miguu kwa kuchezea chaki
Wewe huna akili na kama dunia ingekua inatumia mawazo Yako isingeendelea hivi Kwa akili Yako tu ya kuvukia bara bara unadhani hamna madaktari wanaolipwa milion 5 na kuendelea taasisi binafsi ukielewa Hilo ndio utajua maana ya taasisi binafsi timu sio za serikali mzee ndio maana timu ya taifa hamna mshahara serikali hailipi sawa na taasisi binafsi mzee naona hujielewiPunguza munkari mkuu, tunajadili tu sio vita..
Hakuna mtu anaekataa michezo, wala uzi huu haujakataza watu wasicheze. Swali la mleta mada ni kwamba kwanini mchezaji alipwe milioni 5 wakati daktari analipwa laki 7?
Unataka kuniambia wewe ukiwa mgonjwa kitandani ukiulizwa tukuitie daktari au tukuwashie tv uangalie mechi, utachagua kuangalia mechi?
Mimi nadhani sisi kama jamii ndio hatuko sawa vichwani. Ni kwanini tuone its okay kumlipa ghali mtu anaeburudisha kuliko anaeokoa maisha yetu?
Ndio maana huko juu nimesema haya ni matokeo ya mfumo mbovu wa UBEPARI. Life has been reduced to a simple game of numbers. Yaani watu wapo interested na kiasi cha pesa kinachoingia na sio VALUE inayokuwa added kwenye maisha.Come on Bro!
Pesa ni mchezo wa Namba.
Ni watu wangapi mwalimu wa serikali anaweza kufundisha kwa siku? Na ni watu wa aina gani?
Ni watu wangapi walifuatilia game ya Azam na Simba jana? Na ni watu wa aina gani?
Ni gharama kiasi gani watu wanatumia kupata huduma ya Mwalimu wa serikali kwa Mwaka?
Ni gharama kiasi gani watu wanatumia kwenye kufuatilia mpira kwa mwaka?
Ni wawekezaji wangapi wamewekeza kwenye huduma ya Mwalimu wa serikali? Na ni sh ngapi wameweka?
Ni wawekezaji wangapi wamewekeza kwenye mpira? Na ni sh ngapi wameweka?
Ukiwa mtaani, ni mara ngapi kwa mwaka umewahi kukuta watu wanazungumzia ubora wa mwalimu?
Je ni mara ngapi kwa siku umewahi kukuta watu wanazungumzia ubora wa wachezaji na timu zao?
Networth is Network. The more people you bring in, the more money you make!
Football sio kitu cha maana sana kwenye maisha ila kinafuatiliwa na watu wengi sana na hivyo kutengeneza fursa nyingi za ki biashara ndio maana wachezaji wanalipwa hela nyingi. It's that simple!
Ila Mwalimu pia anaweza kujiongezea kipato kupitia hizi social media especially Youtube. Anaweza kuanzisha channel yake akawa anatoa madini yake kule. Watu wakimuelewa wana subscribe then baadae anaweza kuweka matangazo ya biashara yatakayomuingizia kipato kutokana na idadi ya watu wanao.view content zake.
Like I've said before, It's just a game of Numbers. More Numbers, More Money. Few Numbers, Few Money!
Nadhani wewe wala hujajua huu uzi kinachojadiliwa ni kitu gani.Wewe huna akili na kama dunia ingekua inatumia mawazo Yako isingeendelea hivi Kwa akili Yako tu ya kuvukia bara bara unadhani hamna madaktari wanzolipwa milion 5 na kuendelea taasisi binafsi ukielewa Hilo ndio utajua maana ya taasisi binafsi timu sio za serikali mzee ndio maana timu ya taifa hamna mshahara serikali hailipi sawa na taasisi binafsi mzee naona hujielewi
Mnajaribu kuhoji vitu ambavyo ni mbingu na ardhi.Punguza munkari mkuu, tunajadili tu sio vita..
Hakuna mtu anaekataa michezo, wala uzi huu haujakataza watu wasicheze. Swali la mleta mada ni kwamba kwanini mchezaji alipwe milioni 5 wakati daktari analipwa laki 7?
Unataka kuniambia wewe ukiwa mgonjwa kitandani ukiulizwa tukuitie daktari au tukuwashie tv uangalie mechi, utachagua kuangalia mechi?
Mimi nadhani sisi kama jamii ndio hatuko sawa vichwani. Ni kwanini tuone its okay kumlipa ghali mtu anaeburudisha kuliko anaeokoa maisha yetu?
Wewe ndio hujajua unataka kulinganisha taasisi binafsi na za serikali naona hujitambuiNadhani wewe wala hujajua huu uzi kinachojadiliwa ni kitu gani.
Wewe sasa unakuja vizuri..Kwan maeneo yote duniani l kuna madaktari? watu hawaishi? madaktari wanazuia kufa?
Ukiona madaktari wa muhimu kuliko wooote vipi kuhusu wafamasia? Wazalisha dawa? Wataalam wa maabara? wanajeshi, maaskari? Na wengine wengi tu.
Kila ujuzi una umuhimu wake na unalipwa kulingana na demand na supply na factors zingine.
Ndo maana kuna matajiri wanalipa mamilioni waende kutizama titanic iliyozama n.k kwa mentality yako ungesema why hizi hela wasifanyie hivi au vile!
Demand ikiwa kubwa sana na nafasi ya kuhudumia wengi sana kwa sehemu kubwa kieneo ikiwepo kwa mtoa huduma/mzalisha bidhaa atapata tu hela nyingi. Hiyo ni kanuni ya uchumi haijawahi badilika.
The fact kwamba huwezi kuchangia mada ya kawaida kama hii bila kuita wenzio wajinga, hawajitambui, hawana akili nk inaonyesha kiwango chako cha uelewa kilivyo kikubwa.Wewe ndio hujajua unataka kulinganisha taasisi binafsi na za serikali naona hujitambui
Mmmh daktari gani alipwa laki 7!?Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?
Hajui kama kwa daktari huyohuyo akifanya kazi Hindumandal anaingiza mpaka milioni 4 kwa mwezi.Kwani wachezaj wanalipwa na serikali🤔 acha kuandika pumba kijana ishu za mpira zinaingiinaje na serikali 🤔
Tuseme walimu wa serikali kaka.Una hoja mkuu.Japo mimi siyo mwl lakini nadhani hata ww huelewi vizuri mishahara ya walimu.Mimi pia zamani nilijua mwl wa secondary analipwa mshahara zaidi ya mwl wa Primary mpka hapo nilipokuja kujua mshahara wa mtumishi yeyote wa Umma unalipwa kulingana na level ya elimu yake na siyo vinginevyo.
Pia wachezaji wanalipwa hela nyingi kwa sababu wanacheza kwa muda mchache sana mara nyingi ni miaka 10-15 wakati mtumishi wa Umma analipwa mpaka astaafu.
Mishahara ya walimu inasikitisha sana sana.Na serikali wala haijali.
Kitu chochote kikihitajika saaaaana na mtu akiweza kukidhi huo uhitaji kwa kiwango kikubwa saaaaana na akiwa ndo mdhibit wa hicho kipato kinachoingia ni dhahir shair huyu ataingiza hela nyingi mfano Daktar wa watoto aliyejibrand vizuri mfano Dr. Hameer wa pale fire anahudumia watoto zaidi ya 40 plus sometime mpaka 90 kwa siku sasa mtu kamq huyu hawezi pitwa na Dr wa watoto aliye hata muhimbili na hata aga khan kwa maana ya kipato!!Hajui kama kwa daktari huyohuyo akifanya kazi Hindumandal anaingiza mpaka milioni 4 kwa mwezi.
Ni kweli ila sasa kutokana na huu utandawazi, mambo yapo hadharani wanaona na kusikia jinsi wenzao wanavyougeuza na kutumia mpira kuwa ni mojawapo ya Fursa. Kwa bahati mbaya ushabiki hawajaweza kuugeuza nao kuwa ni Fursa bali kwa wajanja wachache wanavitumia vijiwe vyao kama sehemu ya kufanya biashara yao e.g. uuzaji wa chai, tangawizi, karanga na kahawa bila kusahau alkasusuMkuu niamini mimi. Hii michezo mingine ni kama njia ya kuwapumbaza watu ili wasifanye mambo ya msingi ya kimaisha. Nakuhakikishia hiyo michezo isingekuepo hao vijana wangeenda uwanjani kucheza wao na kujifurahisha wala wasingekufa kwa stress. Chunguza kwa makini utakubali..
Mfano jamii zinazoishi maporini huko mbona wanabuni michezo yao na wanaishi kwa furaha
na supu ya pweza.huna akili kweli. unaangalia tu wachezaji wachache wa ligi kuu. vipi kuhusu wachezaji wa ligi daraja la pili la tatu na la nne.. wanalipwa posho tu zinazotia huruma. mbona huwajali hawa au wao sio binadamuMchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?
Basi nenda kanyeSio maginal tu hata cardinal utility naijua mkuu
Kwani wachezaji wanalipwa na serikali?.....wachezaji duniani kote wanalipwa mara dufu zaidi ya waajiriwa wa serikaliMchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?
Si TZ tu... duniani kote wanamichezo wanalipwa pesa ndefuMchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?