Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu
Kwanini Mchungaji ameshuka?
Kwanini Mchungaji ameshuka?
Hii kitaalamu tunaita paradigm shiftSoko limebadirika sasa mliwa ameanza kula..🤣
Huyu mama safi sana. mwizi huyu self proclaimed mchungaji anawaaminisha kuwa anayosema yanatoka kwa Mungu, sasa na uyu muumini amempa mtihani ambao umemshinda, maana anajua kuwa mama huyu anadanganya kama yeye anayowadanganya!
😂😂😂😂Soko limebadirika sasa mliwa ameanza kula..🤣