Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6

Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6

Baada ya kuombwa pesa, ukimtizama usoni na body language ni kama imani anayohubiri ilitoweka ghafla baada kusikia atoe laki sita.
 
Mapigo na mwendo *****🤣🤣🤣
 
Hii inaweza kuwa ya kupangwa.
Ili iweze ku trend na jamaa kupata umaarufu.
hiyo pesa alimpa huyo mama
hivyo kina mama wengi wanatarajiwa kwenda/kuhamia huko.
 
Back
Top Bottom