Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6

Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6

Mungu kaanza kuongea na waumini ,
Mchungaji feki hana upako, siku zote waumini tunaongea na Mungu wetu muumba mbingu na nchi.
Kama Mungu haongei na waumini ni vipi huwaambia watoe fungu la kumi!
Ili kuijenga imani inabidi ampe tu.
 
Back
Top Bottom