Lakini ingekuwa kinyume chake huyo mama ndo kampelekea mchungaji laki sita, huyo mchungaji wala hasingeshtuka wala kuhoji bali angedai ni maelekezo kutoka kwa mungu!
Hii inaweza kuwa ya kupangwa.
Ili iweze ku trend na jamaa kupata umaarufu.
hiyo pesa alimpa huyo mama
hivyo kina mama wengi wanatarajiwa kwenda/kuhamia huko.