Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

Tujitahidi tusiwe sawa na Burundi
 
Hata hyo 0 inatutosha.
Pongezi kwa mama kwa kutuletea medali 0
 
Ethiopia 🇪🇹?

Basi endelea kuweka
Somalia 🇸🇴
Sudan 🇸🇩
Djibouti 🇩🇯
Eritrea 🇪🇷
Olympics Gold Medal tally

Tanzania: 0
Kenya: 4
Ethiopia: 1
Uganda: 1
Burundi: 0
Rwanda:0
DRC: 0
S. Sudan: 0
 
Tanzania tumeshindwa Kwa sababu mchakato wa kumpata mshiriki wa Olympic lazima awe anafahamiana na kiongozi na siyo mwenye kipaji.kungekuwa kunautaratibu mzuri kama wakenya na wa afrika kusini tungesaidia wtz kushiriki hiyo michezo na kupunguzà vijana wasio na ajira
 
Back
Top Bottom