Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Naandika kwa sikitiko kuu

Nikiwa kwenye maoteo ya sikukuu yetu hii isiyotabirika, nikaamua nijivinjarii na mbuzi katoliki kwenye mikusanyiko ya watu wasio rasmi na huku nikihesabu baraka zangu.

Kama kawaida nikasambaza upendo kwa mmama mmoja jirani yangu (desperado 2) nakuendelea kunywa balimi zangu baridi. Baada ya dakika 30 muhujumu alikuja kunifikishia ujumbe wa shukrani na kikaratasi cha number ya simu.

Baada ya ku-save na kuuanzisha mazungumzo, swali la kwanza una shilingi ngapi? Hilo halikunitatiza, nikauliza kwa huduma gani? Nikajibiwa yoyote unayotaka ni hela yako, sawa , nika hoji je nikiwa na 100K nikaambiwa hizo ni rounds 3 kama inavyotegemewa na kukusudiwa na watengeneza condoms.

Nikahoji zaidi, nazitafutia wapi? Nikaambiwa kwenye tundu lolote unaloona linakufaa.

Nimecheki vizuri tarehe na mwaka tuliopo, nikatafakari ikifika tarehe kama ya leo mwaka 2050, kutakua na tundu lolote la mwanamke ambalo litakua bikra

Tuendelee kuwaombea watoto wetu. Nimemaliza
 
Kesi ni nyingi sana ata KARMA mwenyewe atazidiwa
Kuna mbaba, ni mkuu sana huko kwenye utajiri unaopatikana chini ya ardhi. Kwasababu ya influence ya pesa na madaraka ana wanawake 6 ambao wote anawahudumia, nyumba, gari , safari etc

Ila bwana “tunavyosikia vigezo na masharti lazima vizingatiwe”. Personally mwanamke wake wa mwisho ni shoga yangu na tunaongea “mengi”… Okay hili sio la muhimu, nilitaka nikuhadithie kuwa karma imemu-hit vibaya sana kwa kijana wake wa kwanza, kamaliza chuo akakabidhiwa biashara aendeshe, kijana nae anatumia hela za babaye kuhongea vijana wenzie. Okay; habari ikasambaa mpaka ikamfikia mzee mwenyewe si unajua binadamu hawakunyimi maneno??

Mzee alichanganyikiwa vibaya mno, akamnyang’anya mwanae access zote za pesa, akamnyang’anya gari na kumuachisha kazi, na sharti akae nyumbani. Mbaya zaidi msako ukafanyika kuna vijana wawili wakatishiwa sana hadi wakakimbilia Dar.

Sasa tupo hapa tunasubiri matokeo kama alichofanya kitasaidia kitu, tunachoshangaa ni mzee amechanganyikiwa nini? Si alitakiwa afurahie??
 
Kwa maana mzee ni mtifua mitaro sasa mwanae ni marindaless, shit happens, ila usiamini sana KARMA, Tuwajenge kimaadili watoto wetu. Huyo mzee utakuta ma-house maids ndiyo wanamtunzia watoto, he is not there at home, no where to be seen
 
Inasemekana huko Misri Zamani binadamu walio hai walikuwa wanazikiwa na wafalme wa jamii zao, kuna jamii zilikuwa na sadaka za binadamu, utumwa ulikuwa utaratibu wa kawaida kabisa, ukeketaji wa wanawake. Nafikiri haya ni maovu makubwa kuliko ya sasa.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba jamii hizo hazikua zimefikia level yetu ya uelewa
. Mathalani jamii yetu sasa inayouelewa wa matumizi sahahi ya matundu ya mtu mwilini.
Pengine jamii hizo hazikuona umuhimu wa mtu kama rasilimali
 
Back
Top Bottom