Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

kwel nakwambia ukifka uo mwaka af wew ue unafanya ya mwaka huu lazma uonekane hamnazo
Labda nikufungue uelewa kidogo, vitabu hivi vyote vya kiimani, vimeandikwa miaka mingi sana iliyopita, vyote vinaongea kitu kimojo, doing good for humanity, Je waandishi wanaonekana wajinga? Jombaa maadili hayapitwi na wakati, ni yale yale
 
The saddest aspect of life right now is that science gathers knowledge faster than the society gathers wisdom.
//
Jambo la kusikitisha katika kipindi hiki ni kuwa sayansi inakusanya maarifa kwa kasi kuliko jamii inavyokusanya hekima.

~ Isaac Asimov (sci-fi books writer)
 
The saddest aspect of life right now is that science gathers knowledge faster than the society gathers wisdom.
//
Jambo la kusikitisha katika kipindi hiki ni kuwa sayansi inakusanya maarifa kwa kasi kuliko jamii inavyokusanya hekima.

~ Isaac Asimov (sci-fi books writer)
Hakika, and before we know, jamii itaangamia
 
Labda nikufungue uelewa kidogo, vitabu hivi vyote vya kiimani, vimeandikwa miaka mingi sana iliyopita, vyote vinaongea kitu kimojo, doing good to humanity, Je waandishi wanaonekana wajinga? Jombaa maadili hayapitwi na wakati, ni yale yale
Labda wew hunielewi mim,, nasema ivo kwa watu watakao kua iko kipind ukawa unafanya mambo ya saiv watasema,unamishe za kizamani
 
Kuna mbaba, ni mkuu sana huko kwenye utajiri unaopatikana chini ya ardhi. Kwasababu ya influence ya pesa na madaraka ana wanawake 6 ambao wote anawahudumia, nyumba, gari , safari etc

Ila bwana “tunavyosikia vigezo na masharti lazima vizingatiwe”. Personally mwanamke wake wa mwisho ni shoga yangu na tunaongea “mengi”… Okay hili sio la muhimu, nilitaka nikuhadithie kuwa karma imemu-hit vibaya sana kwa kijana wake wa kwanza, kamaliza chuo akakabidhiwa biashara aendeshe, kijana nae anatumia hela za babaye kuhongea vijana wenzie. Okay; habari ikasambaa mpaka ikamfikia mzee mwenyewe si unajua binadamu hawakunyimi maneno??

Mzee alichanganyikiwa vibaya mno, akamnyang’anya mwanae access zote za pesa, akamnyang’anya gari na kumuachisha kazi, na sharti akae nyumbani. Mbaya zaidi msako ukafanyika kuna vijana wawili wakatishiwa sana hadi wakakimbilia Dar.

Sasa tupo hapa tunasubiri matokeo kama alichofanya kitasaidia kitu, tunachoshangaa ni mzee amechanganyikiwa nini? Si alitakiwa afurahie??
Amle yeye sasa
 
Labda wew hunielewi mim,, nasema ivo kwa watu watakao kua iko kipind ukawa unafanya mambo ya saiv watasema,unamishe za kizamani
Mkuu, wewe ndiyo hauelewi, uzi ni wakuchakata mustakabali wa maadili ya vizazi vyetu vijavyo. Maadili yanabaki kuwa maadaili notwithstanding vizazi hivyo vitanichukuliaje.
 
Naandika kwa sikitiko kuu

Nikiwa kwenye maoteo ya sikukuu yetu hii isiyotabirika, nikaamua nijivinjarii na mbuzi katoliki kwenye mikusanyiko ya watu wasio rasmi na huku nikihesabu baraka zangu.

Kama kawaida nikasambaza upendo kwa mmama mmoja jirani yangu (desperado 2) nakuendelea kunywa balimi zangu baridi. Baada ya dakika 30 muhujumu alikuja kunifikishia ujumbe wa shukrani na kikaratasi cha number ya simu.

Baada ya ku-save na kuuanzisha mazungumzo, swali la kwanza una shilingi ngapi? Hilo halikunitatiza, nikauliza kwa huduma gani? Nikajibiwa yoyote unayotaka ni hela yako, sawa , nika hoji je nikiwa na 100K nikaambiwa hizo ni rounds 3 kama inavyotegemewa na kukusudiwa na watengeneza condoms.

Nikahoji zaidi, nazitafutia wapi? Nikaambiwa kwenye tundu lolote unaloona linakufaa.

Nimecheki vizuri tarehe na mwaka tuliopo, nikatafakari ikifika tarehe kama ya leo mwaka 2050, kutakua na tundu lolote la mwanamke ambalo litakua bikra

Tuendelee kuwaombea watoto wetu. Nimemaliza
Siku hizi matundu yameongezeka.. Wahuni siku hizi tunaingiza sikioni,
 
Back
Top Bottom