Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
KWANZA TUAMBIE MAADILI NI NINI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polepole jirani....😜Taratibuni jamani tuna watoto.
Hayo hayo unayoyajua na kuyasikila ila kinyume chake ni ukosefu wa maadili. Nani alikuambia kuchungulia nyeti za mzazi wako ni ukosefu wa maadili?KWANZA TUAMBIE MAADILI NI NINI?
Hujajibu swaliHayo hayo unayoyajua na kuyasikila ila kinyume chake ni ukosefu wa maadili. Nani alikuambia kuchungulia nyeti za mzazi wako ni ukosefu wa maadili?
Mkuu kuna level ukifikia huwezi kujibu swali kama upo chekechea, niko ki-falsafa zaidi, ni level tuHujajibu swali
[emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu kuna level ukifikia huwezi kujibu swali kama upo chekechea, niko ki-falsafa zaidi, ni level tu
Mkuu, maadili yana context kubwa acha hiyo uliyoikariri ya kiserikali ambayo iko imposed kwenye codes of ethics and conducts, ufinyu wa uelewa wako ndiyo unakupelekea huko na ndivyo ulivyo karirishwa. Ni kwamba sina muda tu wa kukupa maelimu, ila elewa hii ni akili kubwa.[emoji1][emoji1][emoji1]
Itoshe kusema hujui maana ya maadili,huwezi ku generalize maadili kila sehemu au jamii ina maadili gani,unachokuona kibaya wenzako sehemu nyingine wanaona sawa tu
Kwanza sasa hivi hatujafikia hata ya robo ya kilichokuwa kinanyika Sodoma na Gomora.Inasemekana huko Misri Zamani binadamu walio hai walikuwa wanazikiwa na wafalme wa jamii zao, kuna jamii zilikuwa na sadaka za binadamu, utumwa ulikuwa utaratibu wa kawaida kabisa, ukeketaji wa wanawake. Nafikiri haya ni maovu makubwa kuliko ya sasa.
Mkuu, maadili yana context kubwa acha hiyo uliyoikariri ya kiserikali ambayo iko imposed kwenye codes of ethics and conducts, ufinyu wa uelewa wako ndiyo unakupelekea huko na ndivyo ulivyo karirishwa. Ni kwamba sina muda tu wa kukupa maelimu, ila elewa hii ni akili kubwa.![]()
![]()
![]()
Itoshe kusema hujui maana ya maadili,huwezi ku generalize maadili kila sehemu au jamii ina maadili gani,unachokuona kibaya wenzako sehemu nyingine wanaona sawa tu
Kwanza sasa hivi hatujafikia hata ya robo ya kilichokuwa kinanyika Sodoma na Gomora.
Maadili ni vile ulivyofundishwa wewe,na familia au jamii yako,sio kwamba ni lazima iwe sahihi,...so kila jamii ina maadili yakeMkuu, maadili yana context kubwa acha hiyo uliyoikariri ya kiserikali ambayo iko imposed kwenye codes of ethics and conducts, ufinyu wa uelewa wako ndiyo unakupelekea huko na ndivyo ulivyo karirishwa. Ni kwamba sina muda tu wa kukupa maelimu, ila elewa hii ni akili kubwa.
Asichoelewa kuna wauza ngono rasmi na wasio rasmi.Kwahiyo umepewa? Au umezingatia maadili?
Nadhani hao Sodoma na Gomorah hawajatufikia, ila tu kwakua Mungu alikwisha ondoka huku Duniani na sasa hivi amekua si mwingi wa hasiraKwanza sasa hivi hatujafikia hata ya robo ya kilichokuwa kinanyika Sodoma na Gomora.
Unaelewa kilichokuwa kinafanyika Sodoma na Gomora?Nadhani hao Sodoma na Gomorah hawajatufikia, ila tu kwakua Mungu alikwisha ondoka huku Duniani na sasa hivi amekua si mwingi wa hasira
Mkuu hivi vitu vina universal application, what is ethics here in Tanzania is the same worldwide.Maadili ni vile ulivyofundishwa wewe,na familia au jamii yako,sio kwamba ni lazima iwe sahihi,...so kila jamii ina maadili yake
Polepole jirani....😜
Watu wako race sana siku hizi, wanabadili na jinsia kabisaUnaelewa kilichokuwa kinafanyika Sodoma na Gomora?
Unaujuwa mduara?
Nakataa hakuna maadili universal,labda kwenye sheria za kimataifaMkuu hivi vitu vina universal application, what is ethics here in Tanzania is the same worldwide.
Taratibu tu utaelewaNakataa hakuna maadili universal,labda kwenye sheria za kimataifa
Swali zuri sana, na kwa kumkumbisha tu mleta mada ajue kuwa haya anayoyaona yanajirudia na yalishajirudia mara kibao. Dunia ni Ile ile na matendo yake, wanaobadirika ni binadamu tu.Kwa uwezo wako mdogo dunia ina miaka mingap?? unadhani dunia ina umri wako??