NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
Hii kitu imeshusha sana confidence ya watu wengi kuzaa watoto,...mfano ni Singapore,.....pia hata upendo kwa Watoto, fikilia umekaa na Watoto wako sebleni mara wazo linakuja kichwani vipi mwanangu nae akawa kama wale?,,,..unainuka kwa huzuni kupata stimu 🍺🍺🍻😞😞