Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe.

=========

In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine.

“In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they exceed the classical figure,” he said, according to the Kremlin.

The Russian president also confessed that Russian forces were dealing with artillery problems, adding in his remarks that “Yes, we still do not have enough of these modern weapons, but the defense industry, the country's military-industrial complex is developing rapidly.”

The dispirited comments about Moscow’s prospects in the war come just as Ukraine has launched a series of counteroffensives to push Russian forces out of the country.

The acknowledgment is a stark departure from typical messaging from Moscow. Putin and other Kremlin officials have long sought to paint the invasion as a success throughout the war, despite a stinging slew of losses and failed war plans. In March of last year, Putin claimed the operations were going according to plan, regardless of the Russian military’s failure to seize Ukraine’s capital, Kyiv, in an embarrassing defeat.

https://www.thedailybeast.com/vladimir-putin-admits-to-significant-losses-inferior-weapons-in-war-on-ukraine
 
lazima aseme hivyo sasa mataifa 30 ya kuchangie naweukiwa pekeako utaweza kweli? hata hivyo putini ni mwanaume, hii ni sawa una ugomvi na jirani ako ,sasa una panga mpango ili mzipige na jirani huyo,unamtuma mtoto wako kama chambo amtukane kimakusudi huyo unayetaka mgombane tena una mpanga huyo dogo. mtukane akikasirika akakupiga tu jilize na ujigaragaze nitakuja kukusaidia tumpige huyo mtu.hii tekniki ndo nato aliyoitumia kwa urusi. n.b vita ya kutumia akili ni hatari sana,hii pia ilipelekea marekani ikasanda kule vietnam coz vietnam ilikuwa chini ya mrusi na mrusi kwenye vita nimoto wa kuotea mbali
 
Jamaa anawapiga kindugu sana! Kuna wakati anawaacha warushe mawe yao baada ya muda anadondosha mzigo na kuwalamba kama wote! Unaweza fikiri Ukraine anaenda kukomboa miji yote lakini baada ya muda unasikia wamepigwa na kunyang'anywa miji(vijiji) hivyo! Anawapiga kwa kuwaonea huruma sana!
 
Na siku hayo mataifa yatamchangia si ndio atajamba kabisa, maana mpaka sasa ni visilaha tu kataifa ka Ukraine kanapewa na kumliza.....
 
Duh,halafu ProRussians wa mchongo wanaidhihaki Ukraine!
Watu wana salenda Bridge huko, huku pembeni watu wanaleta propaganda mfu, bado yule mpishi wa putin mzee wa wagner alete propaganda zake kua amesusa huku anawashushia kichapo mashoga wanazi
_20230613_123007.JPG
 
Jamaa anawapiga kindugu sana! Kuna wakati anawaacha warushe mawe yao baada ya muda anadondosha mzigo na kuwalamba kama wote! Unaweza fikiri Ukraine anaenda kukomboa miji yote lakini baada ya muda unasikia wamepigwa na kunyang'anywa miji(vijiji) hivyo! Anawapiga kwa kuwaonea huruma sana!
uko sahihi kabisa mkuu,nachomkubali anawapiga afu anaendelea kuwa filisi hawa nyumbu wa ulaya, hebu fikiri hela ya bajeti ya vita wanayo mpa mkirene,jumlisha vifaa vya vita.
 
Na siku hayo mataifa yatamchangia si ndio atajamba kabisa, maana mpaka sasa ni visilaha tu kataifa ka Ukraine kanapewa na kumliza.....

Kumbe ukraine sio kwamba inatumia silaha zake hadi ipewe support
 
Jamaa anawapiga kindugu sana! Kuna wakati anawaacha warushe mawe yao baada ya muda anadondosha mzigo na kuwalamba kama wote! Unaweza fikiri Ukraine anaenda kukomboa miji yote lakini baada ya muda unasikia wamepigwa na kunyang'anywa miji(vijiji) hivyo! Anawapiga kwa kuwaonea huruma sana!
Hufikirii , wanajeshi wa Russia hawafii , Yaani asubirie miaka miwili vita badala ya 72 hours , hufikirii mkuu
 
Na siku hayo mataifa yatamchangia si ndio atajamba kabisa, maana mpaka sasa ni visilaha tu kataifa ka Ukraine kanapewa na kumliza.....
kiukweli mkuu washashindwa vita hiyo kwa sababu washatumia silaha ya mwisho kabisa ya maangamizi lakini imeferi moto bado wa kifuu.silaha hiyo ni kutengwa kimataifa na vikwazo vya kiuchumi.lakini mwamba hateteleki wala nini ana wachapa mboko tu.
 
Ameongelea Wapi Huu Ni uongo mtupu nyie jipeni moyo
 
Nina wasiwasi na kauli za Putin katika siku za hivi karibuni, huenda anatafta sababu za kubwaga manyanga huko Ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kweli kuna habari nilisoma mara mbili mbili juu ya hotuba aliyotoa siku ya urusii. Nadhani atakuwa kashtuka kuwa US ana tec ambayo sio ya dunia hii. Tec iliyotokaa sayari za mbali hivyo yeye pamoja na mother russia wasije fanywa mfanoo .. kama enzi zilee za japani
 
Back
Top Bottom