Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

lazima aseme hivyo sasa mataifa 30 ya kuchangie naweukiwa pekeako utaweza kweli? hata hivyo putini ni mwanaume, hii ni sawa una ugomvi na jirani ako ,sasa una panga mpango ili mzipige na jirani huyo,unamtuma mtoto wako kama chambo amtukane kimakusudi huyo unayetaka mgombane tena una mpanga huyo dogo. mtukane akikasirika akakupiga tu jilize na ujigaragaze nitakuja kukusaidia tumpige huyo mtu.hii tekniki ndo nato aliyoitumia kwa urusi. n.b vita ya kutumia akili ni hatari sana,hii pia ilipelekea marekani ikasanda kule vietnam coz vietnam ilikuwa chini ya mrusi na mrusi kwenye vita nimoto wa kuotea mbali
Muone huyu mlevi
 
Kwani Ukraine imepoteza infrastructures ngapi za kijeshi,viwanda na major Govt mission critical like power generation stations, fuel depot nk. Juzi juzi hapa jego zima la taasisi ya masuala ya kijasusi nchini Ukraine liliteketezwa lote, wakiwemo wafanyakazi, mbona hilo hamlisemi?

Hivi inaingia akilini kwamba Putini akihamua kushambulia na kugeuza jengo zima la Ikulu ya Ukraine kuwa kifusi, Putin atashindwa kweli na possibly kumuua mpaka Zelensky mwenyewe?? Ukweli ni kwamba Putin ajahamua tu, hasa baada ya kuombwa na Waziri Mkuu wa Israel kwamba asalimishe roho ya Zelensky na hicho ndicho kinacho samilisha roho ya Zelensky aendelee kupeta kwa mbwembwe nyingii!!
 
Hehehe unatia huruma sheikh, hii Urusi mliokua mnaiabudu nilitegemea ifumue Ukraine kabisa ukizingatia hasara yote ambayo Urusi imeingia kwenye hivi vita, sasa hivi Warusi wanauawa 900 kwa siku Kiongozi wa Wagner asikitika kwa namna Warusi wanafyekwa kwenye counter-offensive
 
Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe.

=========

In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine.

“In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they exceed the classical figure,” he said, according to the Kremlin.

The Russian president also confessed that Russian forces were dealing with artillery problems, adding in his remarks that “Yes, we still do not have enough of these modern weapons, but the defense industry, the country's military-industrial complex is developing rapidly.”

The dispirited comments about Moscow’s prospects in the war come just as Ukraine has launched a series of counteroffensives to push Russian forces out of the country.

The acknowledgment is a stark departure from typical messaging from Moscow. Putin and other Kremlin officials have long sought to paint the invasion as a success throughout the war, despite a stinging slew of losses and failed war plans. In March of last year, Putin claimed the operations were going according to plan, regardless of the Russian military’s failure to seize Ukraine’s capital, Kyiv, in an embarrassing defeat.

https://www.thedailybeast.com/vladimir-putin-admits-to-significant-losses-inferior-weapons-in-war-on-ukraine
Wewe ni mwehu.

Putin kafanya mkutano jana na waandishi wa habari wa vita pale Moscow.

Haya ndiyo aliyosema.

✍️ Ukraine ilianza mashumbulizi yaliyosubiriwa mda mrefu ya kujibu mapigo tarehe 4 june lakini mashubulizi yote yamefeli yakiambata na hasara kubwa upande wa Ukraine.

✍️ Ukraine tangu imeanza mashambulizi tarehe 4 june mpaka Juzi imepoteza vifaru 160 wakati urusi ikipoteza vifaru 54 pekee.

✍️ upande wa vifo vya wanajeshi, ukraine ina vifo mara kumi zaidi ya urusi.

✍️ Hasara ya vifaa ilivyopata ukraine ni sawa na asilimia 30% ya vifaa vyote ilivyopewa na nchi za magharibi siku za karibuni.

✍️ Malengo ya Urusi nchini Ukraine hayatabadilika.

✍️ Tuna uhaba kidogo wa silaha za kisasa lakini viwanda vyetu vya silaha vinafanya kila njia kuongeza uzalishaji na hivi karibuni tatizo hilo litaisha
 
Back
Top Bottom