MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Wamchangie mara
ngapi na bado mashoga wanashushiwa kichapo
Tumemla jenerali bila kilainishi Jenerali wa Urusi auauwa kwenye counter-offensive, shughuli inazidi kunoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamchangie mara
ngapi na bado mashoga wanashushiwa kichapo
Achia nchi ya watu!Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe.
=========
In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine.
“In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they exceed the classical figure,” he said, according to the Kremlin.
The Russian president also confessed that Russian forces were dealing with artillery problems, adding in his remarks that “Yes, we still do not have enough of these modern weapons, but the defense industry, the country's military-industrial complex is developing rapidly.”
The dispirited comments about Moscow’s prospects in the war come just as Ukraine has launched a series of counteroffensives to push Russian forces out of the country.
The acknowledgment is a stark departure from typical messaging from Moscow. Putin and other Kremlin officials have long sought to paint the invasion as a success throughout the war, despite a stinging slew of losses and failed war plans. In March of last year, Putin claimed the operations were going according to plan, regardless of the Russian military’s failure to seize Ukraine’s capital, Kyiv, in an embarrassing defeat.
https://www.thedailybeast.com/vladimir-putin-admits-to-significant-losses-inferior-weapons-in-war-on-ukraine
Kwan Urusi ilivamiwa au Urusi iliivamia Ukraine ?lazima aseme hivyo sasa mataifa 30 ya kuchangie naweukiwa pekeako utaweza kweli? hata hivyo putini ni mwanaume, hii ni sawa una ugomvi na jirani ako ,sasa una panga mpango ili mzipige na jirani huyo,unamtuma mtoto wako kama chambo amtukane kimakusudi huyo unayetaka mgombane tena una mpanga huyo dogo. mtukane akikasirika akakupiga tu jilize na ujigaragaze nitakuja kukusaidia tumpige huyo mtu.hii tekniki ndo nato aliyoitumia kwa urusi. n.b vita ya kutumia akili ni hatari sana,hii pia ilipelekea marekani ikasanda kule vietnam coz vietnam ilikuwa chini ya mrusi na mrusi kwenye vita nimoto wa kuotea mbali
Anawapiga akina nan ?Jamaa anawapiga kindugu sana! Kuna wakati anawaacha warushe mawe yao baada ya muda anadondosha mzigo na kuwalamba kama wote! Unaweza fikiri Ukraine anaenda kukomboa miji yote lakini baada ya muda unasikia wamepigwa na kunyang'anywa miji(vijiji) hivyo! Anawapiga kwa kuwaonea huruma sana!
Kwan mwaka jana 2022 Feb Jeshi la Urusi lilikiwa limefika eneo gan ndan ya Ukraine , je hilo bridge unalosema wamesonga mbele kulifikia au wamerudi nyuma ?Watu wana salenda Bridge huko, huku pembeni watu wanaleta propaganda mfu, bado yule mpishi wa putin mzee wa wagner alete propaganda zake kua amesusa huku anawashushia kichapo mashoga wanaziView attachment 2655921
Kwahiyo Urusi na ukraine wanalingana ? Mbona unakuwa mwehu sana , na ndio maana mnasapoti huu uvamizi maana kichwan zeroKumbe ukraine sio kwamba inatumia silaha zake hadi ipewe support
Sandakalawe amina mwenye kupata apate kipapatio cha leopadiTumemla jenerali bila kilainishi Jenerali wa Urusi auauwa kwenye counter-offensive, shughuli inazidi kunoga
Nani kamegewa nchi yake hadi sasa na wapi wanatandikwa japo wanapata tag ya mabwanyenye zaidi ya 30......shida sio kuanza ishu unamaliza vipiKwan mwaka jana 2022 Feb Jeshi la Urusi lilikiwa limefika eneo gan ndan ya Ukraine , je hilo bridge unalosema wamesonga mbele kulifikia au wamerudi nyuma ?
Uwezo wako wa ku reason upo chini sana, na hii inatokana lishe mbovu uliyokuwa unapewa wakati ukiwa bado mdogo.Kumbe ukraine sio kwamba inatumia silaha zake hadi ipewe support
Sandakalawe amina mwenye kupata apate kipapatio cha leopadi
View attachment 2656267
Halafu wahuni wanasema mbona madude yenyewe hayatishi kama mnavyoyapigia kelele madebe tupuView attachment 2656270
walimdonoa mkrene ajiunge na nato,kwa vile nato ni maji na moto na mrusi!!,mrusi akasirike aanzishe vita kwa kuona mipaka yake inakuwa chini ya maadui zake nato ,baada ya vita kuanza ndipo nato wachukue fursa hiyo waungane kumsambaratisha mrusi kirahisi maana walikosa pakuanzia,mkirene ametumika kama chambo tuKwan Urusi ilivamiwa au Urusi iliivamia Ukraine ?
lazima aseme hivyo sasa mataifa 30 ya kuchangie naweukiwa pekeako utaweza kweli? hata hivyo putini ni mwanaume, hii ni sawa una ugomvi na jirani ako ,sasa una panga mpango ili mzipige na jirani huyo,unamtuma mtoto wako kama chambo amtukane kimakusudi huyo unayetaka mgombane tena una mpanga huyo dogo. mtukane akikasirika akakupiga tu jilize na ujigaragaze nitakuja kukusaidia tumpige huyo mtu.hii tekniki ndo nato aliyoitumia kwa urusi. n.b vita ya kutumia akili ni hatari sana,hii pia ilipelekea marekani ikasanda kule vietnam coz vietnam ilikuwa chini ya mrusi na mrusi kwenye vita nimoto wa kuotea mbali
Hakuna cha mataifa 30 acha uwongo na unafiki hapo ni vita vya kichokozi vya Putin na Ukraine na NATO baadhi ya mataifa yanamsaidia silaha Ukraine tena sio zote ni silaha chache za kujilinda na Urusi nae anasaidiwa silaha na Iran, china, Korea kaskazini, Belarus, Chechnya Waasi wa majimbo ya luhask na Donesk hii vita NATO wangekuwepo tungeona makombora ya masafa marefu yakirushwa Urusi tungeona ndege za fighter jet za NATO tatizo leo prop Russia mnapenda propaganda za kinafikilazima aseme hivyo sasa mataifa 30 ya kuchangie naweukiwa pekeako utaweza kweli? hata hivyo putini ni mwanaume, hii ni sawa una ugomvi na jirani ako ,sasa una panga mpango ili mzipige na jirani huyo,unamtuma mtoto wako kama chambo amtukane kimakusudi huyo unayetaka mgombane tena una mpanga huyo dogo. mtukane akikasirika akakupiga tu jilize na ujigaragaze nitakuja kukusaidia tumpige huyo mtu.hii tekniki ndo nato aliyoitumia kwa urusi. n.b vita ya kutumia akili ni hatari sana,hii pia ilipelekea marekani ikasanda kule vietnam coz vietnam ilikuwa chini ya mrusi na mrusi kwenye vita nimoto wa kuotea mbali
Kwa hiyo Urusi hafilisiki anatumia mawe kule UKRAINE?uko sahihi kabisa mkuu,nachomkubali anawapiga afu anaendelea kuwa filisi hawa nyumbu wa ulaya, hebu fikiri hela ya bajeti ya vita wanayo mpa mkirene,jumlisha vifaa vya vita.
Watu wanakufa kweli yaanZile saa 72 za ushindi zitaisha lini? alisema Ukrean kwake ni only 75hrs atakuwa amemaliza kazi
Please read last paragraph. - what does it reveal 2U - the whole stuff is a purely propaganda manufactured by Ukraine intel agency to boost Ukranians to think that Russian will definitely gonna be defeated by virtual gallant Ukrainians.Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe.
=========
In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine.
“In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they exceed the classical figure,” he said, according to the Kremlin.
The Russian president also confessed that Russian forces were dealing with artillery problems, adding in his remarks that “Yes, we still do not have enough of these modern weapons, but the defense industry, the country's military-industrial complex is developing rapidly.”
The dispirited comments about Moscow’s prospects in the war come just as Ukraine has launched a series of counteroffensives to push Russian forces out of the country.
The acknowledgment is a stark departure from typical messaging from Moscow. Putin and other Kremlin officials have long sought to paint the invasion as a success throughout the war, despite a stinging slew of losses and failed war plans. In March of last year, Putin claimed the operations were going according to plan, regardless of the Russian military’s failure to seize Ukraine’s capital, Kyiv, in an embarrassing defeat.
https://www.thedailybeast.com/vladimir-putin-admits-to-significant-losses-inferior-weapons-in-war-on-ukraine
Kwamba yy anatumia mawe hatumii pesauko sahihi kabisa mkuu,nachomkubali anawapiga afu anaendelea kuwa filisi hawa nyumbu wa ulaya, hebu fikiri hela ya bajeti ya vita wanayo mpa mkirene,jumlisha vifaa vya vita.
Endeleeni kutest drone putin yupo chato..... Mna hali mbaya sana mmepiga karibu huku Putin kawamegaTumepiga karibu na ikulu sasa Kiwanda cha mafuta karibu na ikulu ya Putin chapigwa bomu ya drone