Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

Achia nchi ya watu!
Wazalamo Walonga TOGOLOLA GAMALE!


Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kwan Urusi ilivamiwa au Urusi iliivamia Ukraine ?
 
Anawapiga akina nan ?
 
Watu wana salenda Bridge huko, huku pembeni watu wanaleta propaganda mfu, bado yule mpishi wa putin mzee wa wagner alete propaganda zake kua amesusa huku anawashushia kichapo mashoga wanaziView attachment 2655921
Kwan mwaka jana 2022 Feb Jeshi la Urusi lilikiwa limefika eneo gan ndan ya Ukraine , je hilo bridge unalosema wamesonga mbele kulifikia au wamerudi nyuma ?
 
Kwan mwaka jana 2022 Feb Jeshi la Urusi lilikiwa limefika eneo gan ndan ya Ukraine , je hilo bridge unalosema wamesonga mbele kulifikia au wamerudi nyuma ?
Nani kamegewa nchi yake hadi sasa na wapi wanatandikwa japo wanapata tag ya mabwanyenye zaidi ya 30......shida sio kuanza ishu unamaliza vipi
 
Kwan Urusi ilivamiwa au Urusi iliivamia Ukraine ?
walimdonoa mkrene ajiunge na nato,kwa vile nato ni maji na moto na mrusi!!,mrusi akasirike aanzishe vita kwa kuona mipaka yake inakuwa chini ya maadui zake nato ,baada ya vita kuanza ndipo nato wachukue fursa hiyo waungane kumsambaratisha mrusi kirahisi maana walikosa pakuanzia,mkirene ametumika kama chambo tu
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe, Poland au Finland tu wakiingia vitani na Urusi anaweza asitoboe bila nuclear.
 
We jamaa ni muongo sana. Heading nyingine..kilichomo kwenye content kingine..Unakuwa unataka kujidanganya ili ufurahi au..??Hata kama ni mapenzi...huu sasa ni uchizi....ni zaidi ya limbwata.Kila mtu anaupande...lakini lazima tubaki rational..
Kwa watu ambao wanasoma juujuu tayari umeishawapa matango pori
 
Hakuna cha mataifa 30 acha uwongo na unafiki hapo ni vita vya kichokozi vya Putin na Ukraine na NATO baadhi ya mataifa yanamsaidia silaha Ukraine tena sio zote ni silaha chache za kujilinda na Urusi nae anasaidiwa silaha na Iran, china, Korea kaskazini, Belarus, Chechnya Waasi wa majimbo ya luhask na Donesk hii vita NATO wangekuwepo tungeona makombora ya masafa marefu yakirushwa Urusi tungeona ndege za fighter jet za NATO tatizo leo prop Russia mnapenda propaganda za kinafiki
 
Please read last paragraph. - what does it reveal 2U - the whole stuff is a purely propaganda manufactured by Ukraine intel agency to boost Ukranians to think that Russian will definitely gonna be defeated by virtual gallant Ukrainians.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…