Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

Muone huyu mlevi
 
Kwani Ukraine imepoteza infrastructures ngapi za kijeshi,viwanda na major Govt mission critical like power generation stations, fuel depot nk. Juzi juzi hapa jego zima la taasisi ya masuala ya kijasusi nchini Ukraine liliteketezwa lote, wakiwemo wafanyakazi, mbona hilo hamlisemi?

Hivi inaingia akilini kwamba Putini akihamua kushambulia na kugeuza jengo zima la Ikulu ya Ukraine kuwa kifusi, Putin atashindwa kweli na possibly kumuua mpaka Zelensky mwenyewe?? Ukweli ni kwamba Putin ajahamua tu, hasa baada ya kuombwa na Waziri Mkuu wa Israel kwamba asalimishe roho ya Zelensky na hicho ndicho kinacho samilisha roho ya Zelensky aendelee kupeta kwa mbwembwe nyingii!!
 

Hehehe unatia huruma sheikh, hii Urusi mliokua mnaiabudu nilitegemea ifumue Ukraine kabisa ukizingatia hasara yote ambayo Urusi imeingia kwenye hivi vita, sasa hivi Warusi wanauawa 900 kwa siku Kiongozi wa Wagner asikitika kwa namna Warusi wanafyekwa kwenye counter-offensive
 
Wewe ni mwehu.

Putin kafanya mkutano jana na waandishi wa habari wa vita pale Moscow.

Haya ndiyo aliyosema.

✍️ Ukraine ilianza mashumbulizi yaliyosubiriwa mda mrefu ya kujibu mapigo tarehe 4 june lakini mashubulizi yote yamefeli yakiambata na hasara kubwa upande wa Ukraine.

✍️ Ukraine tangu imeanza mashambulizi tarehe 4 june mpaka Juzi imepoteza vifaru 160 wakati urusi ikipoteza vifaru 54 pekee.

✍️ upande wa vifo vya wanajeshi, ukraine ina vifo mara kumi zaidi ya urusi.


✍️ Hasara ya vifaa ilivyopata ukraine ni sawa na asilimia 30% ya vifaa vyote ilivyopewa na nchi za magharibi siku za karibuni.

✍️ Malengo ya Urusi nchini Ukraine hayatabadilika.

✍️ Tuna uhaba kidogo wa silaha za kisasa lakini viwanda vyetu vya silaha vinafanya kila njia kuongeza uzalishaji na hivi karibuni tatizo hilo litaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…