Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

🤔
Wakishamuua wanaenda kulisha mamba na fisi ili kupoteza ushahidi, wao watasema tulimuachia hatujui alikoenda labda kaenda Ubelgiji na ndiyo mwisho wa habari.
 
Wakishamuua wanaenda kulisha mamba na fisi ili kupoteza ushahidi, wao watasema tulimuachia hatujui alikoenda labda kaenda Ubelgiji na ndiyo mwisho wa habari.
Wewe sasa umewapa idea bora ungekaa kimya tu 😃
 
Acha ujinga,unayajua mapinduzi wewe? Jaribu uone.
Huyajui umeishia kuyasoma kwenye vitabu pia ndiyo maana huzijui ata dalili zake!! Watu mtaani wamechoka na haya maisha ila nyie kwasabb mnakula kuku kwa mlija hamjui.

Ugumu wa maisha yenu upo mbion kuja! Akili ndogo haina mamlaka ya kuiongoza akili kubwa!
 
Lissu akiambiwa avue viatu pale kituo cha Polisi ndio basi tena, hataweza kuandamana wala kutembea
 
Yuko lockup mbalizi kamsalimie
 
Watajua hawajui,
 
Sawa
 
Huyo Lissu ni kiongozi mkubwa kwa akina nani?
 
Si ajabu wamemuua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…