Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

POLISI IMCHUKUE LISU IMPELEKE WAPI SASA??LISU MWENYEWE HALI YAKE UNAIONA NANI ANATAKA LAWAMA NA YEYE KWA SASA UNADHANI??CHADEMA SIASA ZENU ZA KISHAMBA ZIMEPITWA NA WAKATI SANA.
Mshamba ni wewe Chadema wamefanya siasa wapi hapo! Kwenda kwenye sherehe za vijana ni ushamba? CCM hawakufanya? Haujitambui
 
Mshamba ni wewe Chadema wamefanya siasa wapi hapo! Kwenda kwenye sherehe za vijana ni ushamba? CCM hawakufanya? Haujitambui
Kwani hukuskia kuwa hao BAVICHA walipanga kufanya maandamano nchi nzima kama GEN Z WA KENYA,YASYO NA KIKOMO??

Wapuuzi nini hao,wao kama wanaona GEN Z wanaenjoy na hizo demostration zao na wao wamezipenda si waende KENYA wakaungane nao??

ALIEWAAMBIA KUWA SISI HAPA TZ TUNATAKA MAANDAMANO NI NANI??
 
Kwani hukuskia kuwa hao BAVICHA walipanga kufanya maandamano nchi nzima kama GEN Z WA KENYA,YASYO NA KIKOMO??

Wapuuzi nini hao,wao kama wanaona GEN Z wanaenjoy na hizo demostration zao na wao wamezipenda si waende KENYA wakaungane nao??

ALIEWAAMBIA KUWA SISI HAPA TZ TUNATAKA MAANDAMANO NI NANI??
[emoji2956][emoji2956]
 
Mpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali zinasema kuwa alikamatwa na jeshi la polisi.

Wananchi mbalimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sana taarifa za kukamatwa au kupotea kwa Lissu lakini haijulikani ni kituo gani cha polisi alipo. Hawajui kama kakamatwa, katekwa au yuko katika mikoni salama.

Kiongozi huyu mkubwa ambaye alikuwa mgombea uraia mwaka 2020 na ambaye alinusurika kuuawa kwa risasi 16 mwaka 2017 alikuwa mbeya kwa ajili ya kuhudhuria kongamano la siku ya vijana duniani lakini polisi wakazuia kongamano hilo bila kueleza sababu za msingi za kuzuia kongamano hilo.

Hali ya upotevu wa Makamu mwenyekiti imeleta taharuki kwa wananchi wengi wanaofuatilia suala hili hasa baada ya Chama cha wanasheria nchini kutangaza kupotea kwa wananchi zaidi ya 80 ambao asilimia kubwa ya wenye listi hiyo wamepotea katika kipindi cha utawala huu wa awamu ya sita chini ya Rais Samia.

Tunalitaka jeshi la polisi lieleze mara moja kama limemshikilia makamu mwenyekiti wa CHADEMA au kama halimshikilii litueleze kama linamtafuta ili hofu ya kutekwa na kupotezwa iondoke.

Wananchi tuendelee kufuatilia hali ya makamu mwenyekiti

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1823252319720329332?t=peiBXTmpZ_OrYMofA9md9g&s=19
 
Viongozi wa Chadema wamepigwa sana jee Mh. Lissu na vile vyuma mwilini atakuwa yuko hai kweli au wamemalizia kiporo chao Dodoma? Tuonyesheni picha yake jamani
 
Ujinga huo...

Kilichofanywa na polisi si utekaji...
Hivi bado huo umri ulionao hujui maana ya utekaji??? Kwahiyo walikamatwa??? Unajua Lissu walimpeleka wapi?? Angelikamatwa si wangelisema mapema kuwa yupo sehemu fulani? Ido mind!
 
Ni kosa kubwa sana kuruhusu nchi ikaaongozwa na form four failure. Anawaagiza failure wenzake kuvuruga amani. Reasoning ya kichwani ni zero!

Sasa kufanya alichokifanya inaweza ikawa ndiyo point ya kuvuruga amani tuliyonayo. Watu wakijaribu hata siku moja wakaingia barabarani wajue ikulu hapatakalika. Waache kuishi kwa mazoea. Watanzania tumevumilia mengi sana tupo kmy. Wengine hatuna kazi za kufanya na hatuna tumaini la maisha. So hatutaona tabu kumla mamba majini hukohuko wala hatafika nchi kavu. Mamaye! Katiba mbovu imetuletea kiongozi mbovu anayeendeshwa ovyo ovyo!!!

Jiwe mwenye PHD alifanya nini?
 
Back
Top Bottom