Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

Bado Samia anafanya ule ujinga wa Magufuli tena?!
 
Watakuwa wamemficha baada kumjeruhi vibaya, hivyo wanajaribu kuzuia kufikiwa na vyombo vya habari hasa vya kimataifa, kuepusha habari hizo kusambaa sana duniani.
 
Familia zilizouliwa wakati wa maandamano ya CHADEMA huwa mnazikumbuka?
Shida people wanakufa na nyinyi next mnaanza kula bata na hao watesi.
Mnasahau kama kuna watu waliuliwa katika mapambano yenu mjitafakari sana.
Wale askari wa Tanzania wanaofia huko kwenye nchi za watu wajikinda amani, wamewahi kuwazuia viongozi wa nchi hii kula bata?
 
Hivii chadema hawawezi kuwarogaa hao watesi waooo,Mbowe na uzee wote huoo Hana Cha kushika,ukizeeka nguvu zinapungua ngumi huwezi rusha,hivyo chakukulinda uchawiii Sasa...mfanoo wakikukamata wanakuweka ndani kesho wanakukuta kwenye mkutaano na raia,akikupiga mkono unakaukia jumlaaa🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣 hii mbinu ndio inafaa sana
 
Pole kwa fikra mgando...
 
Familia zilizouliwa wakati wa maandamano ya CHADEMA huwa mnazikumbuka?
Shida people wanakufa na nyinyi next mnaanza kula bata na hao watesi.
Mnasahau kama kuna watu waliuliwa katika mapambano yenu mjitafakari sana.
Kila mwenye akili timamu hajakuelewa!
 
POLISI IMCHUKUE LISU IMPELEKE WAPI SASA??LISU MWENYEWE HALI YAKE UNAIONA NANI ANATAKA LAWAMA NA YEYE KWA SASA UNADHANI??CHADEMA SIASA ZENU ZA KISHAMBA ZIMEPITWA NA WAKATI SANA.
 
PoliCCM ni zaidi ya magaidi. Wamehusika ktk matukio mengi ya utekaji na uuaji wa raia wasiokuwa na hatia. Huenda wamemteka wakamuua na kutupa mwili wake baharini au kwenye shimo refu kama kawaida yao.

Kama wamemuua, ni bora watuambie walipoutupa mwili wake ili familia iuchukue ikazike badala ya kuua na kukaa kimya kama kawaida yao.
 
CHADEMA wafuate utaratibu na siyo kujichukulia mamlaka ya kuamua wanachotaka.
Kwahiyo mikutano haipo kikatiba? Ni fujo gani waliyofanya? Polisi walitakiwa kuwaonya kuwa fanyeni mkutano ila kusiwe na uvunjifu wa amani basi. POLISI WASITUMIWE KISIASA HASA NA CCM WANAMHARIBIA MAMA. Wao wanadhani wanamsaidia na kama wameagizwa, aliyewaagiza kakosea sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…