Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

POLISI IMCHUKUE LISU IMPELEKE WAPI SASA??LISU MWENYEWE HALI YAKE UNAIONA NANI ANATAKA LAWAMA NA YEYE KWA SASA UNADHANI??CHADEMA SIASA ZENU ZA KISHAMBA ZIMEPITWA NA WAKATI SANA.
Mshamba ni wewe Chadema wamefanya siasa wapi hapo! Kwenda kwenye sherehe za vijana ni ushamba? CCM hawakufanya? Haujitambui
 
Mshamba ni wewe Chadema wamefanya siasa wapi hapo! Kwenda kwenye sherehe za vijana ni ushamba? CCM hawakufanya? Haujitambui
Kwani hukuskia kuwa hao BAVICHA walipanga kufanya maandamano nchi nzima kama GEN Z WA KENYA,YASYO NA KIKOMO??

Wapuuzi nini hao,wao kama wanaona GEN Z wanaenjoy na hizo demostration zao na wao wamezipenda si waende KENYA wakaungane nao??

ALIEWAAMBIA KUWA SISI HAPA TZ TUNATAKA MAANDAMANO NI NANI??
 
[emoji2956][emoji2956]
 

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1823252319720329332?t=peiBXTmpZ_OrYMofA9md9g&s=19
 
Viongozi wa Chadema wamepigwa sana jee Mh. Lissu na vile vyuma mwilini atakuwa yuko hai kweli au wamemalizia kiporo chao Dodoma? Tuonyesheni picha yake jamani
 
Ujinga huo...

Kilichofanywa na polisi si utekaji...
Hivi bado huo umri ulionao hujui maana ya utekaji??? Kwahiyo walikamatwa??? Unajua Lissu walimpeleka wapi?? Angelikamatwa si wangelisema mapema kuwa yupo sehemu fulani? Ido mind!
 

Jiwe mwenye PHD alifanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…