mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Atleast wewe umeweka ushabiki pembeni na huo ndiyo ukweli japo na mimi binafisi nimeweka ushabiki huku nilijua Kuna mziki hatari.Gwajima inabidi ajipange Sana na hoja kawe Kuna watu timamu wanaojielewa Sana kiakili na uwezo.so asijiamini Sana, chance Ni 50 kwa 50 asijiaminishe Kama makonda
Kwa hiyo Dar nzima ni Kawe pekee penye wasomi? Kino,Temeke,Segerea,Ilala huko hakuna?Kawe kuna watu walioenda shule, they are ok upstairs. Hawawezi kumpeleka mtu bungeni atakayepiga makofi na kushabikia hoja za hovyo za wanaCCM.
Watapenda mtu atakeyeichallenge status quo. Ndio maana miaka yote wamekuwa wakichagua upinzani.
Na kwa takwimu za TWAWEZA wasomi wengi huwa hawachagui CCM, na KAWE ni ya wasomi.
Hii ni moja ya kauli ambayo itachangia kwa kiasi kikubwa kumuangusha.Itoshe tu kusema ntageuza madrasa na misikiti yote kuwa Sunday School. Ameen!?
..Gwajima is divisive, ni mdini.
..vilevile alishindwa ktk kura za maoni.
..hayo mambo mawili yanawapa ukakasi wapiga kura.
Si kila jimbo kura za wajumbe ni sample sahihi, wajumbe wa ccm ni wala rushwa wakubwa, kura zao wanapiga kwa ushawishi wa rushwa zaidi.Mbona alishindwa kulimudu jukwaa dogo la mkutano wa wajumbe wa CCM, hujui kuwa ile ni sample tu.
Gwajima inabidi ajipange Sana na hoja kawe Kuna watu timamu wanaojielewa Sana kiakili na uwezo.so asijiamini Sana, chance Ni 50 kwa 50 asijiaminishe Kama makonda
Alipokuwa anasema akiwa kiongozi atazigeuza madrasa kuwa Sunday school alikuwa na maana gani?.Ni kweli pasi shaka kwamba Gwaji Boy ni mdini Ila hawezi kugeuza Madrasa kuwa Sunday School kwakua yeye ni mbunge tu na hana mamlaka ya kufanya hivyo.
Naiona CCM mpya mbele yangu
Na ndio alikuwa mshenga wa Lowasa Chadema.Lakini pia Gwajima amekuwa "sponsor" wa Mdee kipindi chote. Kifupi yule kapelekwa kubomoa alichoshiriki kujenga.
Usisahau Peter Msigwa ni mchungaji.Ili uende ofisi ya mbunge kusalimia, lazima uanze na neno " bwana yesu asifiwe" baada ya hapo utasikilizwa shida yako,kama husemi kafie mbele,usiisogelee ofisi ya mbunge
Jimbo la kawe ukamuhonge naniHalima keshaondoka hapo ingawaje nampenda sana yule dada. Haogopi na anajiamini ila kwa huyu mtu aliyeweka, kazi anayo. Pesa , kuongea na ushawishi.
mkuu hakuna muislam hakuna hata mumoja!??Kweli huyu jamaa ni mdini sana
Wajumbe wanashawishika kwa pesa mkuu, Gwaji mtunwa Mungu hakutoa mlungula wajumbe wakamchinja.
Ukweli Halima Mdee anaondoka tena mapema na asubuhi.
Kwa hiyo halima nae hatapata kura ya mkristo hata mmoja hapo kawe.Gwajima hatopata Kura ya Muislam hata mmoja na mimi nikiwa miongoni mwao.