Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Gwajima inabidi ajipange Sana na hoja kawe Kuna watu timamu wanaojielewa Sana kiakili na uwezo.so asijiamini Sana, chance Ni 50 kwa 50 asijiaminishe Kama makonda
Atleast wewe umeweka ushabiki pembeni na huo ndiyo ukweli japo na mimi binafisi nimeweka ushabiki huku nilijua Kuna mziki hatari.
 
Kawe kuna watu walioenda shule, they are ok upstairs. Hawawezi kumpeleka mtu bungeni atakayepiga makofi na kushabikia hoja za hovyo za wanaCCM.

Watapenda mtu atakeyeichallenge status quo. Ndio maana miaka yote wamekuwa wakichagua upinzani.

Na kwa takwimu za TWAWEZA wasomi wengi huwa hawachagui CCM, na KAWE ni ya wasomi.
Kwa hiyo Dar nzima ni Kawe pekee penye wasomi? Kino,Temeke,Segerea,Ilala huko hakuna?

Una takwimu zozote juu ya huo usomi wa watu wa Kawe?

Mdee atapimwa kwa utekelezaji wa alichoahidi 2015 pekee hizo zingine ni hisia tu.

BTW:Unajua uchaguzi uliopita Mdee alishinda kwa asilimia ngapi huko kwa wasomi?
 
..Gwajima is divisive, ni mdini.

..vilevile alishindwa ktk kura za maoni.

..hayo mambo mawili yanawapa ukakasi wapiga kura.
Mbona alishindwa kulimudu jukwaa dogo la mkutano wa wajumbe wa CCM, hujui kuwa ile ni sample tu.
Si kila jimbo kura za wajumbe ni sample sahihi, wajumbe wa ccm ni wala rushwa wakubwa, kura zao wanapiga kwa ushawishi wa rushwa zaidi.
 
Gwajima inabidi ajipange Sana na hoja kawe Kuna watu timamu wanaojielewa Sana kiakili na uwezo.so asijiamini Sana, chance Ni 50 kwa 50 asijiaminishe Kama makonda

Kweli mkuu. Watu wasomi huwa wanaelewa sana haya mambo ya dume jike. Atapita Mr/s
 
Ili uende ofisi ya mbunge kusalimia, lazima uanze na neno " bwana yesu asifiwe" baada ya hapo utasikilizwa shida yako,kama husemi kafie mbele,usiisogelee ofisi ya mbunge
 
Ni kweli pasi shaka kwamba Gwaji Boy ni mdini Ila hawezi kugeuza Madrasa kuwa Sunday School kwakua yeye ni mbunge tu na hana mamlaka ya kufanya hivyo.

Naiona CCM mpya mbele yangu
Alipokuwa anasema akiwa kiongozi atazigeuza madrasa kuwa Sunday school alikuwa na maana gani?.
 
Lakini pia Gwajima amekuwa "sponsor" wa Mdee kipindi chote. Kifupi yule kapelekwa kubomoa alichoshiriki kujenga.
Na ndio alikuwa mshenga wa Lowasa Chadema.

Ndio ujuwe huyu jamaa ni taasisi, hili ni pigo kwa Halima, nadhani advantage ya Halima ni mwenyekiti wa Bawacha vyovyote itakavyokuwa ataingia bungeni hata kupitia viti maalum.
 
Salary Slip,

Kibaya zaidi au kizuri zaidi hilo eneo lina wasomi wengi,wanajitambua hawadanganyiki na wakiamua wameamua Mdee kama namuona vile anavyocheka
 
Wajumbe wanashawishika kwa pesa mkuu, Gwaji mtunwa Mungu hakutoa mlungula wajumbe wakamchinja.

Ukweli Halima Mdee anaondoka tena mapema na asubuhi.

Jamaaa alimwaga pesa mbaya mkuu. Usiandike usichokijua waulize wajumbe
 
Back
Top Bottom