Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.

Muda utaongea.

Kwa nini unapenda kuweka angalizo la haki kutendeka? Haki ipi hiyo zaidi ya:
√ kupewa nafasi ya kugombea na chama;
√ kutimiza masharti ya kuteuliwa na Tume, kwa mjibu wa Sheria ya Uchaguzi, 2010;
√ kushiriki katika kampeni ili kushawishi wapiga kura;
√ kushawishi wapiga kura kushiriki siku ya kupiga kura;
√ kuweka wakala wa kuhakikisha kura zinahwmesabiwa kiuhalali.

Mch Gwajima, aliyeteuliwa na vikao halali vya CCM, tukiamini vina watu makini wenye nia dhabiti ya kulirejesha jimbo, si Gwajima anayezungumzwa vibaya kwenye mitandao ya kijamii.

Kama ulivyohitimisha Muda utaongea
 
Kabla ya sadaka ya kwanza kutolewa gwajima atakuwa amekwisha kushinda kwa kura nyingi za kishindo Kawe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apo CHADEMA wana kazi, huyu msukuma anajua watu vzr na huwezi kumponda
 
shida kubwa ni pale wakuu wenu wa dini hawajihusishi na siasa wanasubili wengine wapate nafasi wamponde na kumchafuaa eti hafai hahaaaa
 
kawe ni ya mdee

wenye ccm yao wameafiki askofu ajitie kitanzi huku wakimshangaa...na kutokuamini kama ni yeye yule wa madhabahuni
 
Hapo akipita bingwa wa hoja Tanzania Tundu Lissu ni knockout kwa Gwajima
 
Hamna mtu anaweza kufanya hvyo, hii nchi haina udini na mbunge hana hayo mamlaka
Alisema ka kiongozi wa dini
 
Kwani kura zinapigwa na waumini? waumini wenyewe wanatoka kila kona ya DSM, amini mjomba, Gwajima anapigwa mapema sana.
Waumini wenyewe wamemkimbia, hana watu wengi kama miaka minne mitano iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…