Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.

Muda utaongea.

Kwa nini unapenda kuweka angalizo la haki kutendeka? Haki ipi hiyo zaidi ya:
√ kupewa nafasi ya kugombea na chama;
√ kutimiza masharti ya kuteuliwa na Tume, kwa mjibu wa Sheria ya Uchaguzi, 2010;
√ kushiriki katika kampeni ili kushawishi wapiga kura;
√ kushawishi wapiga kura kushiriki siku ya kupiga kura;
√ kuweka wakala wa kuhakikisha kura zinahwmesabiwa kiuhalali.

Mch Gwajima, aliyeteuliwa na vikao halali vya CCM, tukiamini vina watu makini wenye nia dhabiti ya kulirejesha jimbo, si Gwajima anayezungumzwa vibaya kwenye mitandao ya kijamii.

Kama ulivyohitimisha Muda utaongea
 
Kabla ya sadaka ya kwanza kutolewa gwajima atakuwa amekwisha kushinda kwa kura nyingi za kishindo Kawe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apo CHADEMA wana kazi, huyu msukuma anajua watu vzr na huwezi kumponda
 
shida kubwa ni pale wakuu wenu wa dini hawajihusishi na siasa wanasubili wengine wapate nafasi wamponde na kumchafuaa eti hafai hahaaaa
Watanzania hawashabikii udini hata kidogo na nchi yetu imepata amani kwa hilo. Ila kwa suala la Gwajima yeye amejipambanua kabisa kwamba ana chuki za waziwazi kwa Waislam. Ametangaza mara nyingi sana kudhoofisha juhudi za Waislam kwa kudhamiria kuzibadilisha madrasa zetu kuwa Sunday School. Sisi Waislam wote wa Dar es Salaam tutahamia Kawe. Nyumba hadi nyumba msikiti hadi msikiti madrasa hadi madrasa kuwaambia Waislam kuwa huyu Gwajima hafai kuongoza Kawe. Ninaamini kawe ina waislam wengi sana wakutosha kumfanya huyu Askofu Mbaguzi asipite. Tutaungana na watu wengine wenye fikra na busara za kujua athari za kumchagua Gwajima. Mungu tusaidie tusiwe miongoni mwa wanafiki. Death to Gwajima
 
kawe ni ya mdee

wenye ccm yao wameafiki askofu ajitie kitanzi huku wakimshangaa...na kutokuamini kama ni yeye yule wa madhabahuni
 
Mdee ana kazi tena kazi nzito sana,huko alipo

anatafakari mpaka kichwa kinapata moto yani

kuna mtu anaweza akawa hajui kitu ila mdomo

anaweza kuutumia ipasavyo,Gwajima n sawa na Msukuma part 2.

Upinzani mbona kazi wanayo awamuu ijayo,huko bungeni wajipange.
Hapo akipita bingwa wa hoja Tanzania Tundu Lissu ni knockout kwa Gwajima
 
Watanzania hawashabikii udini hata kidogo na nchi yetu imepata amani kwa hilo. Ila kwa suala la Gwajima yeye amejipambanua kabisa kwamba ana chuki za waziwazi kwa Waislam. Ametangaza mara nyingi sana kudhoofisha juhudi za Waislam kwa kudhamiria kuzibadilisha madrasa zetu kuwa Sunday School. Sisi Waislam wote wa Dar es Salaam tutahamia Kawe. Nyumba hadi nyumba msikiti hadi msikiti madrasa hadi madrasa kuwaambia Waislam kuwa huyu Gwajima hafai kuongoza Kawe. Ninaamini kawe ina waislam wengi sana wakutosha kumfanya huyu Askofu Mbaguzi asipite. Tutaungana na watu wengine wenye fikra na busara za kujua athari za kumchagua Gwajima. Mungu tusaidie tusiwe miongoni mwa wanafiki. Death to Gwajima
Hamna mtu anaweza kufanya hvyo, hii nchi haina udini na mbunge hana hayo mamlaka
Alisema ka kiongozi wa dini
 
Kwani kura zinapigwa na waumini? waumini wenyewe wanatoka kila kona ya DSM, amini mjomba, Gwajima anapigwa mapema sana.
Waumini wenyewe wamemkimbia, hana watu wengi kama miaka minne mitano iliyopita
 
Back
Top Bottom