Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Kwani Mdee anatuhumiwa nini?gwajima nahisi alikukosea kitu kikubwa rafiki yangu polee sana msamehee mbuge wa kawe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mdee anatuhumiwa nini?gwajima nahisi alikukosea kitu kikubwa rafiki yangu polee sana msamehee mbuge wa kawe.
Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.
Muda utaongea.
Ile show mbovu kabisa hata kuunguruma hajui 😂😂😂😂😂Mwenye ile video ya mkono wa baunsa aiweke hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpeni moyo! Sijui ongea ya Gwajima mtamfunga nini mdomo wake asiongee, unajua spati picha aisee![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wamemchagua kimakusudi maana anajua kampeniMpeni moyo! Sijui ongea ya Gwajima mtamfunga nini mdomo wake asiongee, unajua spati picha aisee![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Watanzania hawashabikii udini hata kidogo na nchi yetu imepata amani kwa hilo. Ila kwa suala la Gwajima yeye amejipambanua kabisa kwamba ana chuki za waziwazi kwa Waislam. Ametangaza mara nyingi sana kudhoofisha juhudi za Waislam kwa kudhamiria kuzibadilisha madrasa zetu kuwa Sunday School. Sisi Waislam wote wa Dar es Salaam tutahamia Kawe. Nyumba hadi nyumba msikiti hadi msikiti madrasa hadi madrasa kuwaambia Waislam kuwa huyu Gwajima hafai kuongoza Kawe. Ninaamini kawe ina waislam wengi sana wakutosha kumfanya huyu Askofu Mbaguzi asipite. Tutaungana na watu wengine wenye fikra na busara za kujua athari za kumchagua Gwajima. Mungu tusaidie tusiwe miongoni mwa wanafiki. Death to Gwajima
Wew unakaa kawe kwani?Gwajima hatopata Kura ya Muislam hata mmoja na mimi nikiwa miongoni mwao.
Makao Makuu ya Chama inadaka haya majimbo mara moja na kuendelea na shughuli zingine! Maana hakuna cha kutafuta mchawi hapo.Jimbo ni Halima asubuh tu .Jimbo la kwanza la CHADEMA hili
Hapo akipita bingwa wa hoja Tanzania Tundu Lissu ni knockout kwa GwajimaMdee ana kazi tena kazi nzito sana,huko alipo
anatafakari mpaka kichwa kinapata moto yani
kuna mtu anaweza akawa hajui kitu ila mdomo
anaweza kuutumia ipasavyo,Gwajima n sawa na Msukuma part 2.
Upinzani mbona kazi wanayo awamuu ijayo,huko bungeni wajipange.
Hapana siwez mchagua Gwajima nimdini SanaYameanza. Mbona mapema hivi?
Hamna mtu anaweza kufanya hvyo, hii nchi haina udini na mbunge hana hayo mamlakaWatanzania hawashabikii udini hata kidogo na nchi yetu imepata amani kwa hilo. Ila kwa suala la Gwajima yeye amejipambanua kabisa kwamba ana chuki za waziwazi kwa Waislam. Ametangaza mara nyingi sana kudhoofisha juhudi za Waislam kwa kudhamiria kuzibadilisha madrasa zetu kuwa Sunday School. Sisi Waislam wote wa Dar es Salaam tutahamia Kawe. Nyumba hadi nyumba msikiti hadi msikiti madrasa hadi madrasa kuwaambia Waislam kuwa huyu Gwajima hafai kuongoza Kawe. Ninaamini kawe ina waislam wengi sana wakutosha kumfanya huyu Askofu Mbaguzi asipite. Tutaungana na watu wengine wenye fikra na busara za kujua athari za kumchagua Gwajima. Mungu tusaidie tusiwe miongoni mwa wanafiki. Death to Gwajima
Tatizo ndg yenu huyu kawe kaisahau sana ipo ipo tuKawe kanisani
Sawa lakini, Mimi nandugu zangu wapemba hatuwezi mpa kura Gwajima tusubirikula yako haina msaada wowote kwake atashinda zaidi ya kula 1
Vyovyote vile mkuu, lkn sio tuongozwe namtu mdini kama GwajimaTatizo ndg yenu huyu kawe kaisahau sana ipo ipo tu
Waumini wenyewe wamemkimbia, hana watu wengi kama miaka minne mitano iliyopitaKwani kura zinapigwa na waumini? waumini wenyewe wanatoka kila kona ya DSM, amini mjomba, Gwajima anapigwa mapema sana.