instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Nadhani kuisambaza barua ambayo Haina baraka za serikali au ushahidi wa matamshi wa mhusika (aliyejuhudhuru) ni kosa kisheria.
Mambo serikalini hayaendi kwa kukurupuka juzi tu hapa tulisikia account ya VP ime - hacked zaidi ya mara 50 halafu Leo hii mtu anaamini upesi kiasi hiki, lazima watu wajiridhishe.
serikali haifanyii KAZI barua za mitandaoni lazima barua ipite majisala (siku za kazj) ijadiliwe ( KAMA IPO)
Na majibu yatoke kwa mhusika na kwa umma.