Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kwa hali ya sasa ya vita kati ya Iran na Israel (na pia kuhusisha Marekani), ukweli ni huu:
1. Iran ndiyo imeathirika zaidi (kwa kiwango kikubwa)
Vifo na majeruhi ni wengi zaidi Iran
Miundombinu muhimu (kama mafuta, gesi, na kijeshi) imeharibiwa vibaya
Uchumi umeanguka:
Sarafu kushuka
Ajira kupotea
Vikwazo (sanctions) kuongezeka
Kwa kifupi: wananchi wa kawaida wa Iran ndiyo wanaoumia zaidi (kiuchumi + kibinadamu).
2. Israel imeathirika, lakini si kwa kiwango kikubwa kama Iran
Kuna mashambulizi ya makombora na baadhi ya vifo
Majeruhi na baadhi ya majengo yameharibiwa
Lakini:
Ina ulinzi mkali wa missile defense (Iron Dome n.k.)
Uchumi bado uko stable ukilinganisha na Iran
Hivyo imepata madhara, lakini imejilinda vizuri zaidi
3. Nchi nyingine (Middle East + dunia)
Hizi pia zinaathirika bila kupigana moja kwa moja:
Nchi za Ghuba (UAE, Kuwait n.k.) zimepigwa pia au kuathirika na vita
Bei ya mafuta imepanda duniani → inaathiri uchumi
Biashara na safari zimevurugika l
Hitimisho (jibu la moja kwa moja)
Aliyeathirika zaidi kwa sasa ni Iran, hasa:
Wananchi wake
Uchumi wake
Miundombinu yake
Israel imepata madhara, lakini si kwa kiwango sawa.
Dunia nzima pia inaathirika kidogo kupitia bei ya mafuta na uchumi.
Wewe punga kuna mtu amekuhitaji ulete huu ucha mbuzi wa kishogaKwa hali ya sasa ya vita kati ya Iran na Israel (na pia kuhusisha Marekani), ukweli ni huu:
1. Iran ndiyo imeathirika zaidi (kwa kiwango kikubwa)
Vifo na majeruhi ni wengi zaidi Iran
Miundombinu muhimu (kama mafuta, gesi, na kijeshi) imeharibiwa vibaya
Uchumi umeanguka:
Sarafu kushuka
Ajira kupotea
Vikwazo (sanctions) kuongezeka
Kwa kifupi: wananchi wa kawaida wa Iran ndiyo wanaoumia zaidi (kiuchumi + kibinadamu).
2. Israel imeathirika, lakini si kwa kiwango kikubwa kama Iran
Kuna mashambulizi ya makombora na baadhi ya vifo
Majeruhi na baadhi ya majengo yameharibiwa
Lakini:
Ina ulinzi mkali wa missile defense (Iron Dome n.k.)
Uchumi bado uko stable ukilinganisha na Iran
Hivyo imepata madhara, lakini imejilinda vizuri zaidi
3. Nchi nyingine (Middle East + dunia)
Hizi pia zinaathirika bila kupigana moja kwa moja:
Nchi za Ghuba (UAE, Kuwait n.k.) zimepigwa pia au kuathirika na vita
Bei ya mafuta imepanda duniani → inaathiri uchumi
Biashara na safari zimevurugika l
Hitimisho (jibu la moja kwa moja)
Aliyeathirika zaidi kwa sasa ni Iran, hasa:
Wananchi wake
Uchumi wake
Miundombinu yake
Israel imepata madhara, lakini si kwa kiwango sawa.
Dunia nzima pia inaathirika kidogo kupitia bei ya mafuta na uchumi.
ExactlyHujua hata vita vinavyoendelea vinahusisha mataifa yapi....umeamua kupachika tu Uzi ili upate wachangiaji.then moyo wako ufurahi........
Inshort ni kwamba hivyo vita ni vya USA na Iran -Israel ni kama kipapatio tu kinachojitutumua ili nao waonekane walipigania maskah yao na wakashinda....
Kuhusu nani kaharibikiwa zaidi hicho sio kipimo cha kushindwa vita....kushinda vita ni kukamilisha malengo uliyojopangia kabla hujaanza uvamizi.....halafu Kwa upande mwingine ni kwamba ni rahisi sana kujua nini kimetokea Iran na ukapima uhabifu uliotokea kuliko sababu taarifa zao ziko wazi san...hawafichi kitu.....lakn Kwa upande wa Israel taarifa zao wanazificha sana kiasi kwamba sio rahisi kujua uharibifu walioupata au taarifa yoyote muhimu ya kivita.....
Ukiona marekani anakwambia ni muda wa cease fire au tunaextend cease fire ujue tayari Israel maji yako shongoni......
Katika Hali ya kawaida tulitakiwa tuisifu ilan Kwa kuiuzia marekani, Israel na mataifa ya ulaya kufikia malengo yao.......
Hujua hata vita vinavyoendelea vinahusisha mataifa yapi....umeamua kupachika tu Uzi ili upate wachangiaji.then moyo wako ufurahi........
Inshort ni kwamba hivyo vita ni vya USA na Iran -Israel ni kama kipapatio tu kinachojitutumua ili nao waonekane walipigania maskah yao na wakashinda....
Kuhusu nani kaharibikiwa zaidi hicho sio kipimo cha kushindwa vita....kushinda vita ni kukamilisha malengo uliyojopangia kabla hujaanza uvamizi.....halafu Kwa upande mwingine ni kwamba ni rahisi sana kujua nini kimetokea Iran na ukapima uhabifu uliotokea kuliko sababu taarifa zao ziko wazi san...hawafichi kitu.....lakn Kwa upande wa Israel taarifa zao wanazificha sana kiasi kwamba sio rahisi kujua uharibifu walioupata au taarifa yoyote muhimu ya kivita.....
Ukiona marekani anakwambia ni muda wa cease fire au tunaextend cease fire ujue tayari Israel maji yako shongoni......
Katika Hali ya kawaida tulitakiwa tuisifu ilan Kwa kuiuzia marekani, Israel na mataifa ya ulaya kufikia malengo yao.......
Je malengo ya vita yamefanikiwa? Lengo sio kufanya uharibifu na kuua wangapi...Kwa hali ya sasa ya vita kati ya Iran na Israel (na pia kuhusisha Marekani), ukweli ni huu:
1. Iran ndiyo imeathirika zaidi (kwa kiwango kikubwa)
Vifo na majeruhi ni wengi zaidi Iran
Miundombinu muhimu (kama mafuta, gesi, na kijeshi) imeharibiwa vibaya
Uchumi umeanguka:
Sarafu kushuka
Ajira kupotea
Vikwazo (sanctions) kuongezeka
Kwa kifupi: wananchi wa kawaida wa Iran ndiyo wanaoumia zaidi (kiuchumi + kibinadamu).
2. Israel imeathirika, lakini si kwa kiwango kikubwa kama Iran
Kuna mashambulizi ya makombora na baadhi ya vifo
Majeruhi na baadhi ya majengo yameharibiwa
Lakini:
Ina ulinzi mkali wa missile defense (Iron Dome n.k.)
Uchumi bado uko stable ukilinganisha na Iran
Hivyo imepata madhara, lakini imejilinda vizuri zaidi
3. Nchi nyingine (Middle East + dunia)
Hizi pia zinaathirika bila kupigana moja kwa moja:
Nchi za Ghuba (UAE, Kuwait n.k.) zimepigwa pia au kuathirika na vita
Bei ya mafuta imepanda duniani → inaathiri uchumi
Biashara na safari zimevurugika l
Hitimisho (jibu la moja kwa moja)
Aliyeathirika zaidi kwa sasa ni Iran, hasa:
Wananchi wake
Uchumi wake
Miundombinu yake
Israel imepata madhara, lakini si kwa kiwango sawa.
Dunia nzima pia inaathirika kidogo kupitia bei ya mafuta na uchumi.
Je malengo ya vita yamefanikiwa? Lengo sio kufanya uharibifu na kuua wangapi...
Jiulize
1. Marekani kafanikiwa lengo lake?
2. Israel kafanikiwa lengo lake?
Malengo yao ni nini?
Mpaka sasa Iran ajasalimu amri kuhusu nuclear program wala kusalimu amri kwenye vita. Na lengo la Iran ni kulinda uhuru wake pamoja na makundi mengine kama Hezibolah kule Lebanon..
Je Iran kashindwa kujilinda?
Nani kaomba seize fire na kwa nini?
Mpaka sasa Iran ndio mshindi maana hajatikiswa kutoka kwenye malengo yake. Na waliopoteza ni dunia nzima tunalia na tunaomba yaishe....
So Marekani kafanikiwa kipi hapo?Hii vita Ina milengo miwili
1~ kuwavuruga waarabu ktk sekta ya mafuta
2~ kutafuta superpower wa Mashariki ya Kati kwa kuipunguza nguvu Iran
3~USA kutaka kumyonga kiuchumi MCHINA kupitia mafuta.
4 - kuharibu nguvu ya kivita hasa kinyuklia ya Iran.
Wewe kweli Chizi hukukosea kujipa hiko cheo Boss 😁Hii vita Ina milengo miwili
1~ kuwavuruga waarabu ktk sekta ya mafuta
2~ kutafuta superpower wa Mashariki ya Kati kwa kuipunguza nguvu Iran
3~USA kutaka kumyonga kiuchumi MCHINA kupitia mafuta.
4 - kuharibu nguvu ya kivita hasa kinyuklia ya Iran.
So Marekani kafanikiwa kipi hapo?
chanzo tafadhali., usimlishe maneno
chanzo tafadhali., usimlishe maneno
Sasa hapo ndio mafanikio mkuu. Kwenye vita hiyo migogoro ipo tu. Ila je wamefanikiwa kiasi gani?Basi kumbe hujui kitu kabisa. Ni maamuma
View attachment 3579644
Kwa hiyo Irani inaagiza Nishati (energy) Nje ya Iran kupitia Hormuz?