Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

Nlichojifunza
  • The harder you work, the luckier you get. Just work on the right things.
  • Si kila uongo ni mbaya.
  • Chagua kitu kimoja uwe extremely good at it.
Kama ni point wee umepata πŸ’― Excellent..πŸ€πŸ€πŸ€œπŸ€œπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
1. Maisha hayan Formula
2. Maisha ni kama gwaride, wa mwisho anaweza kuwa wa kwanza na kinyume chake, muda wowote ule
3. Hakuna short cut kwenye maisha
Hiyo ya maisha kama gwaride... Inapoteza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…